Habari kwa Ujumla

DRC, vikundi vilivyojihami vyatesa jamii, watu wauawa kwa kukatwa mapanga

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limetoa wito kwa mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya

Sauti -
2'22"

UNFPA yatoa wito hatua za haraka zahitajika kukomesha FGM, ndoa za utotoni na upendeleo

Rioti mpya iliyotolewa leo na shika la idadi ya watu duniani UNFPA imesema ili kukabiliana na janga la kimyakimya la mila potofu hatua za haraka zinahita

Sauti -
3'11"

Guterres: COVID-19 inakumbusha jukumu la mabunge katika kuimarisha jamii

Katika ujumbe wake hii leo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres  anasema kuwa kuliko wakati wowote ule, hivi sasa katika janga la virusi vya Corona au

Sauti -
2'44"

Malawi, kampeni ya UNICEF yaweka wazi baba wa kipekee

Nchini Malawi, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linapigia chepuo kitendo cha mzazi wa kiume kusaidiana na mzazi mwenzake ka

Sauti -
1'58"

UNAIDS: Huduma ya afya haipaswi kuwa biashara bali haki ya binadamu

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na ukimwi UNAIDS Winnie Byanyima amesema janga la corona au

Sauti -
1'44"

Somalia yapongezwa kwa upimaji wa COVID-19

Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia James Swan ameipongeza serikali ya Somalia kwa juhudi kubwa inazozifanya katika upimaji wa virusi vya corona au COVID-19 baada ya leo kuzur

Sauti -
1'59"

Yambio Sudan Kusini, UNMISS yashirikiana na Kanisa Katoliki kusambaza barakoa katika masoko

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
3'2"

Kituo cha "Back to Life," Kimebadili vijana waraibu wa madawa kuwa wazalishaji badala ya wabomoaji

Ikiwa leo ni siku ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya duniani,  tunakwenda nchini Tanzania ambako kituo cha kusaidia waathirika kilichoko jijini Dar es salaam kimesaidia kuwabadili watumiaji wa madawa hayo kuwa wazalishaji ka

Sauti -
6'24"

UNICEF yafikisha msaada wa COVID-19 kwa nchi zaidi ya 100 licha ya changamoto

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema licha ya changamoto lukuki limefanikiwa kufikisha msaada kwa nchi zaidi ya 100 kup

Sauti -
2'10"

26 JUNI 2020

Leo hii katika jarida la mada kwa kila la Umoja wa Msataifa Flora Nducha anakuletea

Sauti -
10'47"