Habari kwa Ujumla

UNMISS yasambaza tenki za maji sokoni kudhibiti COVID-19 Juba Sudan Kusini

Walinda amani katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini

Sauti -
2'6"

Katibu Mkuu wa UN asema afya ya akili ni msingi wa kila kitu kwenye COVID-19

Ugonjwa wa virusi vya Corona ukiendelea kutikisa dunia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezindua muhtasari wa mkakati wa kushughulikia afya ya akili ambayo hivi sasa

Sauti -
1'57"

Mkuu wa WHO afurushwa Burundi siku chache kabla ya uchaguzi mkuu, WHO yazungumza

Shirika la afya la Umoja la Umoja wa Mataifa, WHO, limesema linawasiliana na serikali ya Burundi ili kufahamu sababu ya kufukuzwa kwa mwakilishi wake nchini h

Sauti -
1'52"

WFP yaendelea kunusuru wahitaji, katikati ya COVID-19,

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula, WFP, linaendelea kusaka rasilimali ili liweze kufikisha misaada kwa watu milioni 100 kwa mwaka huu 2020. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.

Sauti -
1'55"

Msiwe na hofu ya kuchangia damu wakati huu wa COVID-19, bado tunahitaji kuokoa maisha

Kitengo cha damu salama katika hospitali ya rufaa mkoa wa Dodoma nchini Tanzania kimewatoa hofu wachangiaji wa damu kuwa uwepo wa ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 usiwatishe kwenda kuchangia damu kwani hawawezi kuambukizwa wala kuwaambukiza wen

Sauti -
2'13"

UNICEF:COVID-19 kusababisha nyongeza ya watoto 6,000 kufariki dunia kila siku

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF wiki hii linazindua kampeni iitwayo #Reimagine, yenye lengo la kuzuia janga la ugonjwa wa

Sauti -
2'3"

UNHCR yaarifu kuwa ghasia Nigeria zasababisha  raia 23,000 wakimbilie Niger mwezi Aprili pekee

Ghasia zinazoendelea kaskazini-magharibi mwa Nigeria zimelazimisha watu wapatao 23,000 kukimbia nchi yao na kusaka hifadhi nchi jirani ya Niger kwa mwezi uliopita wa Aprili pekee. 

Sauti -
1'52"

Huko Cox’s Bazar COVID-19 yaambatana na hofu ya ukatili majumbani

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema ingawa ugonjwa wa virusi vya Corona,

Sauti -
1'40"

WHO yasema vizuizi vya COVID-19 vikilegezwa, tujiandae kukabili changamoto

Idadi ya watu waliougua ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 ikifikia zaidi ya milioni 4 duniani kote, shirika la afya la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
1'57"

COVID-19 haitambua rangi, kabila wala taifa - Shearer

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini

Sauti -
2'26"