Habari kwa Ujumla

Guterres: Mshikamano na Afrika ni muhimu ili kusongesha maendeleo yaliyopatikana

Ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 ukiendelea kusambaa barani Afrika, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amependekeza hatua za kisera za  kusaidia bara hilo kukabiliana na changamoto zitokanazo na janga hilo ambalo hadi sasa limesababisha vifo vya w

Sauti -
1'59"

Ili kupata asali bora, ni muhimu kuepuka kemikali za sumu kwenye mazao

Kuelekea siku ya nyuki duniani kesho tarehe 20 mwezi Mei, wafugaji wa nyuki nchini Tanzania wamezungumzia umuhimu wa wakulima kuepuka kutumia kemikali za sumu ili kuhakikisha asali ya nyuki haina madhara yoyote kwa afya ya binadamu.

Sauti -
1'52"

Nchini Kenya, Wafransisko Wakapuchini washiriki kutunza mazingira

Utunzi wa mazingira ni moja ya malengo makuu ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -
2'50"

WFP: Njaa kuongezeka mara mbili Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika sababu ya COVID-19

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP, kuhusu athari za kijamii na kiuchumi za janga la corona au COVID-19,  imeonyesha kuwa tatizo la njaa li

Sauti -
12'16"

Dola milioni 4 kusaidia nchi kupambana na COVID-19 zatolewa kwa IAEA

Mpango wa shirika la kimataifa la nishati ya atomiki, IAEA wa kusaidia kutokomeza ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19, umepata msukumo mpya baada ya kampuni ya kijapani ya kutengeneza dawa, TAKEDA kuchangia zaidi ya dola milioni 4.7.

Sauti -
2'25"

Waomba hifadhi Libya wapewa msaada na UNHCR kwa ajili ya COVID-19 na Ramadhan 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limegawa msaada wa dharura kwa mamia ya wakimbizi, wahamiaji na waomba hifadhi

Sauti -
2'23"

Guterres: Janga la COVID-19 ni kengele ya kutuamsha sote

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema janga la virusi vya corona ni kengele ya kutuamsha sote hivyo ni wakati wa kushikamana na kusaka kinga na tiba ya kuutokomeza ugonjwa huu unaoiyumbisha dunia. John Kibego na taarifa zaidi

Sauti -
2'55"

Nimepunguza bei na kuongeza uzalishaji sabuni, ili kupambana na COVID-19-Havyarimana

Ili kusaidia kupambana na kusambaa kwa virusi vya corona, mkimbizi kutoka Burundi, Innocent Havyarimana anayeishi katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya na ambaye kwa miaka mitano amekuwa akijihusisha na utengenezaji wa sabuni za maji, hivi sasa ameongeza uzalishaji na kupunguza bei ya

Sauti -
2'25"

MINUSCA yapata msaada wa mashine ya kupima COVID-19 kutoka Rwanda

Kikosi cha Rwanda kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR,

Sauti -
1'59"

Mama lishe Mwanza wapaza sauti, Mialo ya ziwa Victoria imejaa maji

Ripoti za  kuendelea kuongezeka kwa kina cha maji katika Ziwa Viktoria barani Afrika zimeendelea kuenea na sasa waathirika wa hali hiyo wanazungumza kupaza sauti zao ili waweze kupatiwa msaada wakati huu ambapo njia zao za kujipatia kipato zimeathiriwa na ongezeko la kiwango cha maji.

Sauti -
2'58"