Habari kwa Ujumla

COVID-19 imetugeuza wafungwa, sina mtandao wa kufuatilia masomo - Mtoto DRC

Watoto nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hivi sasa licha ya kutokwenda shuleni kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19, wanatumia muda huo kusoma nyumbani, kusa

Sauti -
1'48"

Udaktari ni wito na ukiwa wako huchoki:Dkt. Wambugu

 Huyo ni mmoja wa madaktari kambini Kakuma Dkt. Jesse Wambugu akisema anafanya kazi kama afisa msaidizi wa afya kwenye kambi hiyo inayohifadhi wakimbizi takribani 196,000.

Licha ya changamoto na kuhudumia wagonjwa wengi kila uchao Dkt. Wambugu nasema

Sauti -
1'50"

Miezi mitatu tangu kutangazwa COVID-19 ni janga bado hatukati tamaa- WHO

 Ikiwa leo ni miezi mitatu tangu shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO, litangaze kuwa ugonjwa wa virusi vya Corona, au

Sauti -
2'28"

25 APRILI 2020

Sauti -
4'2"

25 APRILI 2020

Sauti -
4'2"

Kutoka kutumikishwa vitani Sudan Kusini hadi kumiliki karakana ya samani

 Nchini Sudan Kusini, watoto waliokuwa wametumikishwa vitani na hatimaye kuachiliwa huru sasa wameanza kubadili maisha yao na ya wengine baada ya kupatiwa stadi za kujipatia kipato kwa msaada wa Umoja wa Mataifa na wadau wake.

Sauti -
2'35"

COVID-19 si ukomo wa masomo kwa wakimbizi

Nchini Kenya matangazo ya shule kwa njia ya redio sasa yameanza katika kambi za wakimbizi ambapo walimu wanafundisha masomo kupitia redio za jamii ili wanafunzi waendelee na masomo hata wakati huu wa kusalia nyumbani kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au

Sauti -
1'35"

Hatma ya watoto milioni 370 iko njia panda kisa? COVID 19:UNICEF/WFP

Mustakbali wa watoto milioni 370 uko njiapanda kwa sababu ya janga la virusi vya corona au COVID-19 lililosababisha kufungwa kwa shule zilizokuwa mkombozi wa lishe yao imesema taarifa ya mashi

Sauti -
2'18"

Nilikuwa nakufa, wahudumu wameniokoa-aliyepona COVID-19

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mmoja wa manusura wa ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 amesihi raia wa taifa hilo la Maziwa Makuu Afrika waitikie wito wa kujikinga na gonj

Sauti -
2'

Asante UNHCR huduma ya kangaroo imeokoa watoto wetu:Wakimbizi

Huduma ya rahisi lakini muhimu ya kangaroo ambayo inatolewa kwenye kambi ya wakimbizi ya Gado nchini Cameroon imekuwa mkombozi wa wa Maisha ya watoto wanaozaliwa njiti kambini hapo. 

Sauti -
2'18"