Habari kwa Ujumla

COVID-19 ni madhila juu ya madhili kwa watoto DRC

Mfumo wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, unahitaji msaada wa haraka wakati huu ukilemewa na magonjwa ya surua na kipindupindu yanayokatili maisha ya maelfu ya watoto pamoja na tishio la janga jipya la virusi vya Corona

Sauti -
2'54"

COVID-19: Kutembea usiku sasa ni hatia Uganda

Uganda imefuata nyayo ya baadhi ya nchi duniani ya kupitisha amri ya kutotembea usiku kama mojawapo ya njia za kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19, sanjari na kufunga m

Sauti -
2'9"

Mradi wa kutengeneza sabuni ni mkombozi kwa wanawake wakimbizi Za'atari

Kwa kutumia bidhaa za asili, wanawake wakimbizi kwenye kambi kubwa zaidi nchini Jordan wanatengeneza sabuni na kugawa kwa familia zilizo na mahitaji kwa ajili ya kusaidia katika kuzuia kuenea kwa virusi vya corona au

Sauti -
1'59"

Kijana atumia ubunifu kutengeneza kitu cha kusafi mikono, vita dhidi ya COVID-19

Ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 ukiwa umeshasambaa katika mataifa 199 ikiwemo Tanzania ambako hivi sasa idadi ya wagonjwa imefikia 19, vijana nao wanaibuka na ubunifu mbalimbali ili

Sauti -
2'

ILO na UNICEF yatoa mapendekezo ya namna ya waajiri kusaidi familia waajiriwa na familia zao

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa, lile la kuhudumia watoto, UNICEF na lile la kazi,

Sauti -
2'6"

ITU na UNESCO washirikiana kuhakikisha elimu kwa wanafunzi

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limezindua muungano wa elimu wa kimataifa ili kuhakikisha wa

Sauti -
2'14"

Mlipuko wa COVID-19 unaathiri uwasilishaji wa mlo shuleni-WFP

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limezindua ramani mpya ya kidijitali inayodhihirisha athari za vi

Sauti -
1'15"

IOM yawashawishi wahamiaji jembe halimtupi mkulima

Shirila la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM limesema uhamiaji una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo vijijini kupitia sekta ya kilimo hali ambayo inakuwa faina kwa wahamiaji na jamii zinazowahifadhi.

Sauti -
2'2"

Pamoja na kupambana na COVIDI-19 tusisahau chanjo:UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesihi serikali duniani kote kuanza mipango thabiti ya utoaji chanjo kwa watoto pindi ja

Sauti -
2'27"