Habari kwa Ujumla

Maelfu ya watu Maisha yao yanaendelea kuwa hatarini Syria imesema WHO/OCHA/UNHCR

Umoja wa Mataifa unaendelea kufuatilia kwa karibu hali inayotia hofu kubwa Kaskazini Magharibi mwa Syria kufuatia taarifa kwamba askari kadhaa wa Uturuki wameuawa kwenye shambulio la anga. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Sauti -
2'22"

UNAIDS yasema mapambano dhidi ya UKIMWI hayatenganishwi na mapambano dhidi ya aina zote za ubaguzi

Kuelekea jumapili hii ya tarehe Mosi mwezi Machi ambayo dunia inaadhimisha siku ya kupambana na ubaguzi dhidi ya wanawake na wasichana, shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na Virusi Vya UKIMWI, VVU na UKIMWI,

Sauti -
1'47"

WHO yasema kwa mara ya kwanza hakuna kisa kipya cha Ebola DRC katika siku 7 zilizopita

Huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hakuna kisa chochote cha Ebola kilichoripotiwa katika siku 7 zilizopita, na hii ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ebola mwezi Agosti mwaka 2018 nchini humo.

Sauti -
3'1"

Mkimbizi wa Syria akonga nyoyo ujerumani kwa mapishi yake

Nchini Ujerumani, mwanamke mmoja mkimbizi kutoka Syria ametumia stadi zake za mapishi ya vyakula vya kwao na kujikuta anafungua mgahawa unaotoa huduma kwa watu mashuhuru akiwemo Kansela wa nchi hiyo ya Ulaya Angela Merkel. 

Sauti -
1'56"

Apu mpya ya IOm kusaidia kulinda taarifa binasi mitandaoni

Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM limezindua Apu mpya ya simu za rununu ijulikanayo kama “Community Response App” ambayo inaweza kutumika kokote duniani kuwawezesha wanaosimulia hadithi zao kufanya maamuzi kuhusu matumizi ya taarifa zao binafsi, kulikoni?

Sauti -
1'48"

Matumizi ya mihadarati na pombe kwa watoto na barubaru ni mtihani

Bodi ya kimataifa ya kuzuia madawa ya kulevya INCB imezitaka serikali kuanzisha mifumo ya kitaifa ya data ili kufuatilia mwelekeo wa matumizi ya madawa yenye uraibu miongoni mwa vijana. 

 Assumpta Massoi na ripoti kamili.

Sauti -
1'32"

Wanawake tusirudi nyuma katika ulinzi wa amani- Rubani Valentina

Takwimu zinaonesha kuwa zaidi ya walinda amani 200 wa Umoja wa Mataifa wamepoteza maisha katika moja ya nchi hatari duniani ya Mali.

Sauti -
2'23"

Karanga tu ndio mlo wetu wa sasa- Wakazi Nzara

Wakati Sudan kusini ikiendelea kupambana kuimarisha amani, wakazi wa eneo la Nzara wamekumbwa na janga la moto wa nyika ambao umeteketeza takribani ardhi yenye ukubwa wa maili tano za mraba katika jimbo la Equatoria Magharibi na kuwaacha mamia ya watu bila makazi, umesema  mpango wa Umoja wa Mata

Sauti -
1'33"

WHO ikitaka nchi zifunguke kuhusu Corona, huko Afrika Mashariki mataifa ikiwemo Kenya, yamejiandaa

Shirika la afya  ulimwenguni, WHO limesema kuwa changamoto kubwa hivi sasa katika kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona au COVID19, ni nchi nyingine zenye wa

Sauti -
2'30"

Radio Okapi yafananishwa na "kanisa katikati ya kijiji", ilitukomboa wakati wa Ebola

Radio Okapi ambayo ni ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC,

Sauti -
3'19"