Habari kwa Ujumla

Mradi wa FAO nchini Yemen ni mfano wa mgeni njoo mwenyeji apone

Nchini Yemen katika jimbo la kusini-magharibi, la Ibb, mbinu mpya za umwagiliaji kwa kutumia mradi wa kusukuma maji kwa nguvu za sola umeleta nuru mpya na matumaini kwa wakazi wa eneo hilo.

Sauti -
2'7"

UNMISS na njia bunifu kuhakikisha elimu kwa wakazi Sudan Kusini

Timu ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaohudumia Sudan Kusini wanatafuta njia za ubunifu za kutafuta pesa za kulipia ada ya watoto yatima na watoto katika familia zenye mzazi mmoja, kutoa chakula, vitabu na kuboresha vyumba vya madarasa vya shule ambayo inahudumia jamii maskni katika mji mk

Sauti -
2'24"

Apu mpya ya simu yarahisisha uwasilishaji wa taarifa za ukatili wa kijinsia Tanzania

Tanzania shirika la kiraia linalohusika na masuala ya msaada wa sheria na maendeleo kwa wanawake, WiLDAF kwa kushirikiana na kampuni ya teknolojia, Dephics wametengeneza programu tumishi iitwayo GBV Taarifa inayowezesha mtu kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia kupitia simu ya kiganjani.  

Sauti -
2'57"

Vijana na hatua kupunguza athari za COVID-19 Lebanon

Nchini Lebanon, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa kushirikiana na shirika  la  kiraia  liitwalo  LOST,  linajumuisha  vi

Sauti -
1'58"

Mwanaharakati wa haki za wanawake aanzisha mahala salama kambini Cox's Bazaar

Kutana na mwanamke mwanasheria na mwanaharakati wa haki za wanawake Razia Sultana ambaye ameanzisha mahala salama kwenye kambi ya Cox’s Bazaar nchini Bangladesh kwa ajili ya kuwapa msaada wa kisaikolojia wanawake wakimbizi wa Rohingya kutoka Myanmar waliopitia ukatilia wa kijinsia au GBV.

Sauti -
2'52"

Jamii inahitaji kusikia sauti na uzoefu wa wanawake na wasichana na kuzingatia mahitaji yao-Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe wake kwa siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake inayoadhimishwa kila Novemba 25, ametoa wito kwa jumu

Sauti -
2'11"

Majanga makuu matatu ikiwemo njaa yanashuhudiwa nchini Afghanistan

Nchi ya Afghanistan inakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula huku viwango vya utapiamlo vikifurutu ada kutokana na tishio litokanalo na majanga matatu makubwa ambayo ni vita, corona au

Sauti -
3'1"

Wakimbizi wanaendelea kumiminika Sudan kutoka Tigray, Ethiopia

Wakati idadi ya watu wanaokimbia jimbo la Tigray nchini Ethiopia kuingia mashariki mwa Sudan sasa imezidi 40,000, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
2'14"

Kijana Richard anatumia ulemavu wake kuelimisa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo dhidi ya polio

Kutana na Richard Elaka mkazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye ni manusura wa ugonjwa wa polio. Yeye anatumia hali yake ulemavu kutokana na Polio kuelimisha jamii umuhimu wa kupatia watoto wao chanjo dhidi ya ugonjwa huo usio na tiba lakini una kinga.

Sauti -
1'49"

UNFPA yaunga mkono serikali ya Ukraine kuzuia ukatili unaokabili wasichana na wanawake takriban milioni 11

Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA ambalo pia limejikita katika masuala ya kijinsia na afya ya uzazi limesema janga la corona au

Sauti -
2'47"