Habari kwa Ujumla

UN Women/UNDP: COVID-19 kuwatumbukiza wanawake wengine milioni 47 katika ufukara

 Takwimu hizo za pamoja zinasema kiwango cha umasikini kilitarajiwa kushuka kwa asilimia 2.7 kati ya mwaka 2019 na 2021 lakini makadirio sasa yanaonyesha kutakuwa na ongezeko la umasikini la asilimia 9.1 kutokana na athari za janga la corona au

Sauti -
2'49"

Mkimbizi mwalimu ahofia kuwa fursa aliyopata ya kusoma ni finyu kwa wanae na watoto wengine wakimbizi

Mkimbizi huyo James Tut, ambaye ameshajikuta mkimbizi mara mbili katika maisha yake, alianza masomo ya shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Addis Ababa nchini Ethiopia mwaka 2010 na kuhitimu  mwaka 2014.  Ahimidiwe Olotu na maelezo zaidi.

Sauti -
1'48"

Yambio Sudan Kusini, UNMISS na wadau wakabidhi vyumba 16 vya huduma za dharura za COVID-19

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini 

Sauti -
2'23"

UNESCO- Shule zikifunguliwa, ni nusu tu ya waliojiandaa ndio wataweza kuingia darasani.

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO, limesema muhula mpya wa masomo ukianza Agosti hadi Oktoba

Sauti -
2'16"