Habari kwa Ujumla

Mikakati ya vita dhidi ya polio yasaidia kudhibiti COVID-19 Pakistan:WHO

Timu ya shirika la afya duniani WHO inayohusika na kutokomeza polio imekuwa ikifanyakazi usiku na mchana kusaidia hatua za kupambana na janga la corona au

Sauti -
2'45"

Wakati ni sasa kuchukua hatua kukomesha uchafuzi wa hewa:Guterres

Watu 9 kati ya 10 wanavuta hewa chafu, ni wakati wakubadili hilo sasa Guterres 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema huu ni wakati wa kushikamana na kuchukua hatua 

Sauti -
2'27"

Zambia, UNICEF yasaidia wanaokabiliwa na uhaba wa maji

Nchini Zambia, mradi wa maji uliofadhiliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, umekuwa nuru kwa wakazi 800,000 wa wilaya y

Sauti -
1'33"

Nchini DRC, ghasia mpya Kasai zinaweza kuchochea wimbi jipya la ukimbizi- UNHCR 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, leo limeonya kuwa ghasia mpya zinazoibuka katika eneo la Kasai nchini Jamhur

Sauti -
1'57"

Mchakato wa upatikanaji na usamabazaji wa chanjo za COVID-19 kuongozwa na UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF litafanya kazi kwa karibu na makumpuni wazalishaji wa madawa na washirika wengine katika uh

Sauti -
2'43"

UNIDO:Wanawake na wanaume wakiwa sawa katika soko la ajira pato la dunia lipanda zaidi ya  asilimia 25

Shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO, limesema endapo wanawake watapatiwa fursa sawa na wanaume katika soko la ajira basi pato la dunia litaongezeka kwa zaidi ya asilimia 25 ifikapo mwaka 2025. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.

Sauti -
1'49"

Uhai wa wanaolitegemea Ziwa Turkana mashakani, kwani liko hatarini kukauka

Nchini Kenya, ziwa Turkana ambalo ni ziwa kubwa la kudumu lililoko jangwani liko hatarini kukauka na hivyo kutishia uhai wa watu zaidi ya 300,000 wanaotegemea kipato chao kutokana na maji yake. Ahimidiwe Olotu na taarifa zaidi.

Sauti -
1'53"

Uganda, UNHCR yaimarisha juhudi za kudhibiti COVID-19 miongoni mwa wakimbizi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR na wadau wake nchini Uganda wameimarisha juhudi za kudhibiti vifo na maambuki

Sauti -
2'29"

Mkulima Ethiopia: IFAD imetuwezesha kujenga nyumba na kulala kwenye vitanda

Nchini Ethiopia, mradi wa umwagiliaji maji mazao uliofanikishwa na mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya chakula na kilimo, IFAD, umeleta nuru kwa wakulima na hata wengine kuweza siyo tu kujenga nyumba kwa mara ya kwanza, bali pia kulala kwenye kitanda na kupatia familia zao milo mitatu.

Sauti -
1'55"

Nchini Msumbiji, familia zinazokimbia mashambulizi zajikuta katika maeneo yaliyoghubikwa na COVID-19 

Mashambulizi katika miji na vijiji vya mkoa wa kaskazini mwa Msumbiji wa Cabo Delgado yamezidi na  kuwalazimisha maelfu ya watu kukimbia kwa miguu, boti au barabara kwenda katika makao makuu ya mkoa ambako ni kitovu cha COVID-19 na ambako shirik

Sauti -
2'31"