Habari kwa Ujumla

Afrika Kusini, sasa wachambua taka wafanya kazi kwa kujiamini, kulikoni?

Nchini Afrika Kusini, shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda, UNIDO na serikali ya Japani limefanikisha usaidizi wa mavazi ya kujikinga mwili kwa waokota na wachambuzi taka ngumu nchini humo ili kuwaepusha na maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona au

Sauti -
2'23"

Uchaguzi ufanyike kwa amani-Raia wa CAR 

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR tarehe 27  mwezi Desemba mwaka huu, wapiga kura kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui wametoa maoni yao wakati huu ambapo tayari kazi ya kuandikisha wapiga kura ilianza mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu.

Sauti -
2'16"

Wajukuu zangU niliwakalisha kuwaambia, tazama, kuna njaa, sijui ni maisha gani tutaishi-Albertina

Zambia ni moja ya nchi tisa kusini mwa Afrika ambazo zinakumbwa na janga au viwango vya dharura ya ukosefu mkubwa wa uhakika wa chakula.

Sauti -
2'15"

UNICEF inaona waokota takataka wanaweza kuwa washirika muhimu wa mazingira

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na kampuni ya Conceptos Plasticos ya Columbia wanaendesha mradi wa kubadil

Sauti -
2'7"

UNMISS kujiondoa taratibu vituo vya ulinzi raia ambako usalama umeimarika

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, David Shearer, amesema hakuna mtu yeyote atakayefurushwa kwenye vituo vya  ulinzi wa raia, POC,  vilivyofungua milango yake wakati ghasia zilipozuka nchini humo mwaka 2013 kunusuru raia waliokuwa wanasaka maeneo salama.

Sauti -
2'3"

Ripoti yaonesha COVID-19 yaweza futa mafanikio ya kupunguza vifo vya watoto wachanga 

Ripoti mpya iliyotolewa leo na mashirika ya Umoja wa Mataifa na taasisi zake, imeonesha kuwa mafanikio yaliyopatikana takribani miongo mitatu katika kuepusha vifo vya watoto wachanga yanaweza kufutwa na janga la

Sauti -
2'8"

Redio 500 za sola zatolewa na UNMISS kusaidia watoto kusoma wakati huu wa COVID-19

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini

Sauti -
2'35"

Licha ya wadau wa UNHCR Uganda kufungiwa, UNHCR yasema itaendelea na huduma.

Shirika la Umoja wa Mataifala Kuhudumia wakimbizi, UNHCR nchini Uganda limesema linajitahidi kuhakikisha kwamba hatua ya serilkali ya k

Sauti -
2'11"

Watu 100 wapoteza maisha na zaidi ya laki 5 waathirika na mafuriko Sudan:OCHA 

Watu 100 wamepoteza maisha na zaidi ya laki 5 wameathirika na mafuriko makubwa yanayoendelea nchini Sudan ambayo yalianza katikati ya mwezi Julai na sasa wanahitaji haraka msaada wa huduma za msingi , limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCH

Sauti -
2'2"

Licha ya changamoto waalimu, wazazi na wanafunzi wadhamiria kusoma wakati wa COVID-19 Uganda

Ugonjwa wa Corona au COVID-19 ukiendelea kusababisha baadhi ya nchi kufunga shule na vyuo na hivyo wanafunzi kulazimika kusomea majumbani, walimu, wazazi na wanafunzi nchini Uganda, wamezungum

Sauti -
1'49"