Habari kwa Ujumla

Janga la COVID-19 ni zaidi ya janga la kiafya, ni zahma ya kibinadamu:UN 

Akizindua ripoti hiyo kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kwa njia ya mtandao Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema “hakuna nchi ambayo imenusurika, h

Sauti -
2'35"

UNHCR yajenga mahema kunusuru wakimbizi baada ya kambi ya Moria kuteketea kwa moto,

Hatimaye mamia ya wasaka hifadhi kwenye kambi ya Moria iliyoteketetea kwa moto katika kisiwa cha Lesvos nchini Ugiriki wiki iliyopita, sasa wamepata makazi kwenye mahema yaliyosimikwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
2'10"

Bado wengine wakihaha kusubiri kufungua shule, UN yatoa mwongozo wa hatua za kufuata

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametoa mwongozo wenye mapendekezo ya mikakati ya kiafya ya kuzingatiwa na serikali kuhusu linin a jinsi ya kufungua tena shule kwenye mae

Sauti -
2'17"

Guterres: Demokrasia ni chachu ya kila kitu katika jamii.

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya demokrasia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema demokrasia ni muhimu katika kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, ushiriki katika uf

Sauti -
1'48"

Njaa gereza kuu la Bunia, DR Congo, MONUSCO yaingilia kati.  

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC,

Sauti -
1'47"

DRC Shule zikifunguliwa, dawati moja mwanafunzi 1 ili kuepusha COVID-19

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imeitikia wito wa Umoja wa Mataifa wa kufungua shule ili wanafunzi wanaofanya mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi na sekondari waweze kuendelea masomo yao licha ya kuwepo kwa janga la ugonjwa wa

Sauti -
1'55"

Volkan Bozkir: Baraza Kuu la mwaka huu ni la kipekee kwa namna nyingi

Rais mpya wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 75 Volkan Bozkir amesema kikao cha mwaka huu cha Baraza Kuu ni cha kipekee kwa namna nyingi, kwani mbali ya janga la corona au COVID-19 , Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 tangu kuanzishwa.

Sauti -
3'40"

Catalina:Tunataka watambue kuwa kuna binadamu wanaojali binadamu wenzao

Catalina, si jina lake halisi, ni mwanasheria kutoka Nicaragua mwenye umri wa miaka 44 na ambaye alikimbilia nchi jirani ya Costa Rica ili kunusuru maisha yake na ya watoto wake wawili. Flora Nducha na maelezo zaidi.

Sauti -
2'21"

UNMISS yaeleza kuwa watu 135,000 wametawanywa na mafuriko Bor wengine wapoteza kila kitu

Watu 135,000 wametawanywa na mafuriko katika eneo la Bor na Twic kwenye jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini huku wengine wakipoteza kila kitu kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.

Sauti -
2'21"

Wanajeshi wa TANZBATT-7 watumia sanaa kuimarisha amani DRC

Sanaa katika operesheni za ulinzi wa amani zinazofanywa na Umoja wa Mataifa kwenye mataifa mbalimbali ikiwemo Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC imedhihirika  kuwa mbinu muhimu ya kuleta utangamano miongoni mwa wanajamii wa taifa hilo hususan jimboni Kivu Kaskazini kwa kuwa na ujumbe maridhawa

Sauti -
3'11"