Habari kwa Ujumla

Malakal Sudan Kusini watumia bendi ya muziki inayoeneza amani

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'14"

Wakazi wa dunia watoa maoni kuhusu UN waitakayo!

Umoja wa Mataifa ukitimiza miaka 75, wakazi wa sayari ya dunia kutoka nchi maskini hadi tajiri, wanawake hadi wanaume, vijana hadi watoto wametoa maoni yao kuhusu Umoja wa Mataifa wautakao, ikiwa ni matokeo ya utafiti uliofanyika kuanzia mwezi Januari mwaka huu kufuatia wito wa Katibu Mkuu

Sauti -
2'

Miaka 10 baadaye, hatimaye misaada ya UN yawafikia katika milima ya Jebel Marra, Sudan. 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limepeleka misaada katika eneo la Jebel Marra, Darfur, Sudan ili kuokoa maisha ya watu wal

Sauti -
2'51"

UNDP na UNWTO wamesadia kuimarisha utalii Tanzania- TTB

Nchini Tanzania miaka 75 ya Umoja wa Mataifa imekuwa na manufaa kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kupitia miradi mbalimbali ambayo chombo hicho kimekuwa kikitekeleza kwa ushirikiano na taasisi mbalimbali za nchi hiyo.

Sauti -
1'28"

Miaka 75 tumepiga hatua kubwa na tuna ya kujivunia, lakini safari bado ni ndefu:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema Umoja wa Mataifa una mengi ya kujivunia baada ya kupiga hatua kubwa tangu kuanzishwa kwake miaka 75 iliyopita, lakini bado safa

Sauti -
3'8"

DR Congo, machifu wasema mawasiliano ni muhimu kudhibiti machafuko  

Mawasiliano na elimu kwa vijana na viongozi wa vijiji na mitaa ni jambo muhimu linalopaswa kupewa kipaumbele ili kusaidia vijana kuachana na mawazo potofu na kujiingiza katika magenge ya uhalifu, amesema kiongozi mkuu wa machifu kwenye mji wa Oicha jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemok

Sauti -
3'7"

Usalama wa wahudumu wa afya ni msingi wa usalama wa wagonjwa 

Ikiwa leo ni siku ya usalama wa wagonjwa duniani, shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO limesema hakuna taifa linaweza kuwaweka salama wagonjwa wake iwapo

Sauti -
2'29"

Ripoti imebaini watoto milioni 150 zaidi wametumbukia katika umaskini kwa sababu ya COVID-19-

Idadi ya watoto wanaoishi katika umaskini wa namna mbalimbali imeongezeka hadi takriban bilioni 1.2 kutokana na janga la COVID-19.

Sauti -
1'54"

Watu wa Jordan wamenipa fursa nyingine baada ya vita kuniondoa masomoni Yemen-Mkimbizi 

Wakiwa katika mavazi ya kazi, vijana wakimbizi wamelizunguka gari na mmoja wao akiwa na kifaa cha kupima gari ili kugundua tatizo.  Ahimidiwe Olotu na taarifa zaidi.

Sauti -
1'54"

Nilipokuwa nakua, ukatili majumbani niliona jambo la kawaida, sasa hapana!

Livhuwani Hellen Dzibana, mshauri nasaha kutoka nchini Afrika Kusini, kutwa kucha hivi sasa anaomba janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limalizike kwa kuwa limekuwa mwiba katika utekelezaji

Sauti -
2'5"