Kufuatia idhini iliyotolewa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kikosi cha mpito cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, UNIFIL kuchukua hatua za maalumu za muda mfupi ili kutoa usaidizi kwa Lebanon na watu wake baada ya mlipuko uliotokea nchini mwezi uliopita, walinda amani wa UNIFIL tayar