Habari kwa Ujumla

UNICEF na serikali Uganda waleta nuru kwa waishio na VVU 

Nchini Uganda, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, kwa kushirikiana na serikali, limechukua hatua kuhakikisha kuwa huduma za

Sauti -
2'15"

Waathiri wa mafuriko Kenya waishukuru UNICEF

Waathirika wa mafuriko makubwa yanayokumba maeneo mbalimbali ya Mashariki mwa Afrika na kusababisha athari  ikiwemo watu kupoteza kila kitu, hususan  nchini Kenya wamelishukuru shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -

WHO:Huduma za afya zimevurugwa katika asilimia 90 ya nchi wakati wa COVID-19

Shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO, leo limechapisha utafiti wake wa kwanza wa athari za janga la corona au

Sauti -
1'45"

DRC chunguzeni vitisho vya mauaji dhidi ya Dkt. Mukwege- Bachelet 

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza wasiwasi wake juu ya vitisho vya hivi karibuni vya mauaji dhidi ya mtetezi wa haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemorkasia ya Congo, DRC na mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel, Dkt. Dennis Mukwege.Flora Nducha na r

Sauti -
1'57"

Licha ya vikwazo vya COVID-19, UNICEF yaendelea kupambana na utapiamlo DRC 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limeendelea na juhudi zake za kusaidia kupambana na utapiamlo kwa watoto nchini Jamhuri ya

Sauti -
2'23"

Kuwa mkimbizi bila kazi Lebanon ni mtihani mkubwa: Mkimbizi Ibrahim

Kutana na mkimbizi Khalili Ibrahim kutoka Syria ambaye ajali na athari za janga la corona au COVID-19 ilimlazimisha kumwachisha binti yake shule ili afanye kazi taarifa zaidi na Jason Nyakundi

Sauti -
2'32"

Togo imekuwa nchi ya kwanza Afrika kutokomeza ugonjwa wa malale:WHO

Taarifa iliyotolewa leo na shirika la afaya la Umoja wa Mataifa WHO imesema Togo imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kutokomeza ugonjwa wa malale ambao umeku

Sauti -
2'45"

COVID-19: Takribani mtoto 1 kati ya 3 ya watoto wa shule duniani kote, hakuweza kupata masomo nje ya mazingira ya shule-Ripoti 

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF iliyotolewa hii leo mjini New York Marekani imeeleza kuwa takribani theluthi

Sauti -
2'14"

Mipango ya kudhibiti COVID-19 ilianza punde tu baada ya maambukizi kuripotiwa China, yasema Mauritius

Mauritius, taifa la kisiwani lililo katika bahari ya Hindi limeelezea kile kilicholiwezesha kudhibiti ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 punde tu baada ya kuthibitishwa kuwepo kwa wagonj

Sauti -
2'23"

Shirika la ACAKORO lawa mkombozi wa elimu kwa watoto masikini wa Korogocho Kenya:UNICEF

Shirika la kijamii la ACAKORO limekuwa mkombozi mkubwa wa elimu kwa watoto masikini wa mtaa wa mabanda wa Korogocho nchini Kenya baada ya shule kuendelea kufungwa kutokana na janga la corona au COVID-19 hadi Januari 2021.

Sauti -
2'32"