Habari kwa Ujumla

Asante walinda amani wanawake kwa kutujali- Wanawake Beni, DRC

Katika maadhimisho ya siku ya walinda amani duniani hii leo, maudhui yakilenga wanawake walinda amani ni ufunguo wa amani ya kudumu, baadhi ya wanawake wakazi wa mji wa Beni, jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, wameomba walinda amani wanawake kutoka Tanzania waend

Sauti -
3'58"

Mwanamke kuchagua kazi ni kujibagua- Sajini Bari Mwita

 SGTBaru Mwita Makaya ni miongoni mwa madereva na Fundi mwanamke ambaye amejizole Umaarufu Mkubwa ndani nja nje Ya Tanzania , ambaye kwa sasa ni Mlinda Amani dereva na fundi Pekee Mwanamke. Assumpta Massoi na ripoti kamili.

Sauti -
3'23"

Tunawapatia wanawake DRC stadi za ujasiriamali– Private Anna

Mlinda amani mwanamke kutoka Tanzaina ambaye anahudumu katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC,

Sauti -
2'56"

Kutana na Sajenti Desta anayesifika kwa kutengeneza magari ya UNMISS, Sudan Kusini

Wanawake wanaohudumu katika shughuli mbalimbali za Umoja wa Mataifa kote duniani wanaendelea kujizolea umaarufu kutokana na uchapakazi wao. Mmoja wao ni Almaz Kabtimer Desta, Sajenti anayefanya kazi katika Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNIMISS akihudumu kama fundi makenika.

Sauti -
2'44"

Walinda amani wanawake kutoka Tanzania wasema, "wanawake DRC wanafunguka zaidi kwetu kuelezea masahibu yao."

Kuelekea siku ya walinda amani duniani kesho Mei 29, siku ambayo mwaka huu inamulika wanawake walinda amani wa Umoja wa Mataifa na mchango wao katika ujenzi wa amani ya kudumu, tunamulika askari wanawake wa Tanzania.

Sauti -
2'13"

Chonde chonde tushikamane kuchangia na kuwanusuru Wasyria na COVID-19:IOM

Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM limesema fedha za ufadhili kwa ajili ya maelfu ya raia wa Syria waliotawanywa na machafuko inasalia kuwa kipaumbele kinachotia hofu kubwa ya utoaji msaada wa kibinadamu hasa wakati huu ambapo janga la virusi vya corona au

Sauti -
2'1"

Pamoja na kuleta adha COVID-19 pia imenisadia silali njaa:Fundi Beatrice

Mlipuko wa virusi vya Corona au COVID-19 kwa kiasi kikubwa umeathiri kila nyanja ya maisha ya watu duniani kote ukiacha kwamba umesababisha mamilioni ya vifo lakini pia umeathiri uchumi na maisha ya kijamii.

Sauti -
2'48"

COVID-19 imebadili maisha ya familia yangu- Mwanahabari Kanyinda

Ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19, upo na chonde chonde tujikinge.

Sauti -
2'23"

COVID-19 yawa upenyo wa kutangaza maziwa ya kopo badala ya maziwa ya mama- Ripoti

Ripoti mpya ya mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau, inaonesha kuwa juhudi za kukomesha matangazo ya maziwa ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga zinaendelea kukumbwa na mkwamo hasa wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au

Sauti -
2'8"

Kikundi cha Umoja ni Nguvu Kakonko chanufaika na mafunzo ya FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
2'52"