Mfumo wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, unahitaji msaada wa haraka wakati huu ukilemewa na magonjwa ya surua na kipindupindu yanayokatili maisha ya maelfu ya watoto pamoja na tishio la janga jipya la virusi vya Corona
Uganda imefuata nyayo ya baadhi ya nchi duniani ya kupitisha amri ya kutotembea usiku kama mojawapo ya njia za kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19, sanjari na kufunga m
Kwa kutumia bidhaa za asili, wanawake wakimbizi kwenye kambi kubwa zaidi nchini Jordan wanatengeneza sabuni na kugawa kwa familia zilizo na mahitaji kwa ajili ya kusaidia katika kuzuia kuenea kwa virusi vya corona au
Ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 ukiwa umeshasambaa katika mataifa 199 ikiwemo Tanzania ambako hivi sasa idadi ya wagonjwa imefikia 19, vijana nao wanaibuka na ubunifu mbalimbali ili
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limezindua ramani mpya ya kidijitali inayodhihirisha athari za virusi vya Corona, COVID-19 katika program zake za mlo mashuleni
Shirila la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM limesema uhamiaji una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo vijijini kupitia sekta ya kilimo hali ambayo inakuwa faina kwa wahamiaji na jamii zinazowahifadhi.