Maji ni hai ni kauli ambayo imethibitika kwa wakazi wa jimbo la Dankpen nchini Togo, baada ya Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la chakula na kilimo,
Nchini Senegal, wakulima na wafanyabiashara wadogo wameushukuru mradi wa kusaidia maendeleo ya sekta ya kilimo, PAFA, unaofadhiliwa na Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD. Anold Kayanda na maelezo zaidi.
Wapiga kura nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, wameanza kuchukua kadi zao za mpiga kura tayari kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika jumapili hii ya tarehe 27 mwezi Desemba.
Nchini Sudan Kusini, wakazi wa jimboni Bahr-el-Ghazal wameelimishwa jinsi ya kuripoti matukio ya ukatili wa kingono na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake, tukio ambalo limechagizwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo. John Kibego na taarifa kamili.