Habari kwa Ujumla

Hebu acheni kushambulia wahudumu wanaoweka rehani maisha yao kutokomeza Ebola DRC- Azimio

Hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa wajumbe wa Baraza la Usalama kwa kauli moja wamepitisha azimio ambalo pamoja na kuchagiza harakati za kukabiliana na ugonjwa wa Ebola nchini  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC , limelaani vikali mashambulizi na mauaji  ya watoa huduma za afya amb

Sauti -
3'6"

Ukosefu wa nishati ya kutosha unakwamisha biashara Kagera, Tanzania

Upatikanaji wa nishati ni muhimu kwa ajili ya kuwezesha biashara na maisha kwa jamii ikiwemo kwa wakazi wa mkoa wa Kagera nchini Tanzania ambao wanaendesha biashara mbali mbali kwa ajili ya kukimu mahitaji yao.

Sauti -
50"

Uhaba wa chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi wapatiwa suluhu

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema bado linatafiti iwapo chanjo dhidi ya Ebola ina madhara yoyote ya kiafya dhidi ya wanawake wajawazito.

Sauti -
2'31"

Ukiwaji wa haki na mauaji Myanmar si vya kufumbia macho

Kinacxhoendelea hivi sasa nchini Myanmar dhidi ya watu wa kabila la Rohinya ni mauaji ya kimbari na ukiukwaji mwingine mkubwa wa haki za binadamu, ameonya leo Marzuki Darusman ambaye ni mwenyekiti wa tume iliyoundwa na Baraza Kuu la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kuchunguza ukiukwaji wa hak

Sauti -
3'29"

Uhuru wa kuabudu unasiginwa kwa kisingizio cha vita dhidi ya ugaidi- Mtaalamu

Haki ya uhuru wa dini au imani ni suala mtambuka ambalo mara nyingi halieleweki vyema na kusababisha haki hiyo kukiukwa kwa kiasi kikubwa kote duniani.Assumpta Massoi na taarifa kamili.Kauli hiyo imetolewa na Ahmed Shaheed , mtaalamu maalumu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya

Sauti -
1'40"

Elimu ni mkombozi kwa watoto huko Kajiado, Kenya

Elimu nimeona kuwa ni ufunguo na ndio maana nikaamua kuipa kipaumbele katika kaunti ya Kajiado ya Kati nchini Kenya, amesema mbunge wa eneo bunge hilo Memusi Kanchory.

Sauti -
2'1"

Tunasonga mbele licha ya changamoto- UN

Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ikiwa ambapo chombo hicho kilichoanzishwa miaka 73 kinaendelea na majukumu yake ya kusongesha amani, haki za binadamu na maendeleo ya kiuchumi na kijamii licha ya changamoto lukuki zinazokumba dunia. Siraj Kalyango na maelezo zaidi.

Sauti -
2'31"

Radio ina umuhimu mkubwa katika kutimiza SDGs Uganda

Teknolojia kama matumizi ya Radio ina mchango mkubwa katika kuhusisha jamii kwenye utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGs.

Sauti -
2'

Ubia wa sekta binafsi na ya umma ni suluhisho la njaa duniani

Ufadhili wa sekta za umma pekee hautoshi kutimiza malengo ya maendeleo endelevu au SDG’s hivyo taasisi za maendeleo za kimataifa na za ufadhili lazima zishirikiane kujumuisha uwekezaji kutoka sekta binafsi. Priscilla Lecomte na maelezo zaidi.

Sauti -
1'48"