Habari kwa Ujumla

Muundo mpya wa maendeleo wa UN kuleta nuru kwa wananchi- Guterres

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UN, kwa kauli moja limepitisha azimio la kubadilisha mfumo wa utekelezaji wa shughuli za maendeleo za umoja huo.

Sauti -
4'3"

Ili kufanikisha lengo la afya Tanzania kila mdau apaswa kuhusika

Kufikilia lengo la maendeleo la afya ifikapo 2030 hasa la kuwa na  huduma kwa wote ni mtihani kwa nchi nyingi hususan zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Hata hivyo mchango wa wadau wote zikiwemo taasisi za dini unawaweza kusaidia kupiga hatua ya kufikia lengo hilo.

Sauti -
3'47"

Kutoka Nairobi hadi Kigali- Uhamiaji halali wazaa matunda

Uhamiaji barani Afrika unaweza kuchochea ukuaji wa uchumi endelevu na kuleta mabadiliko stahili ya kiuchumi kwa nchi husika iwapo kutakuwepo na mifumo bora ya kisera kuhusu uhamiaji.

 

Sauti -
1'58"

Matumizi ya tumbaku yamepungua lakini bado kuna hatari- WHO

Leo ni siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani ambapo shirika la afya ulimwenguni, WHO linasema matumizi ya tumbaku yamepungua.Kupitia ripoti yake iliyotolewa leo, WHO inasema matumizi hayo yamepungua kutoka asilimia 27 mwaka 2000 hadi asilimia 20 mwaka 2015.

 

Sauti -
2'19"

Katu sitaki kurejea DRC, naogopa vita- Kijana mkimbizi

Mchango wa vijana katika masuala mbalimbali ni dhahiri ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu.

Sauti -
3'10"

Heko G5 huko Sahel kwa kulinda raia-UN

Ukanda wa Sahel unakabiliwa na mashambulizi na shida za mara kwa mara ambapo nchi tano kwenye ukanda huo zimeunda kikosi cha kukabili mashambulizi kiitwacho, G5.

Sauti -
2'14"

Kilicho bora kwa Afrika ni bora kwetu sote- UN

Miaka 55 iliyopita bara la Afrika lilizindua chombo chake kikileta pamoja nchi zilizokuwa zimepata uhuru. Hii leo  ni miaka 55!

Sauti -
1'31"

Raia wa Sudan Kusini asimulia alivyobakwa baada ya mumewe kuuawa

Hali bado si shwari kwenye jimbo la Unity nchini Sudan Kusini, jambo linalofanya maelfu ya raia wa kukimbia mapigano huku wakikumbwa na madhila ikiwemo kubakwa. 

Sauti -
1'46"

Kiswahili chetu ndio hazina yetu

Lugha yako ndio mkombozi wako!  Ikiwa leo ni siku ya Afrika, lugha za asili za Afrika nazo zimepigiwa chepuo na miongoni mwao ni lugha ya Kiswahili ambayo barani Afrika pekee inaongoza kwa kuzungumzwa na watu wengi zaidi, idadi ikitajwa kuwa ni zaidi ya watu milioni 200.

Sauti -
2'3"

Priyanka apaza sauti za watoto warohingya

Balozi mwema wa UNICEF, Priyanka Chopra amezuru kambi ya wakimbizi wa Rohingya huko Bangladesh na kutoa wito kwa usaidizi zaidi kwa watoto wa waki

Sauti -
1'58"