Habari kwa Ujumla

20 Disemba

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa leo , Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
13'12"

Wakimbizi wa ndani DRC wafarijika kwa kusaidiana:UNHCR

Wakati machafuko yakiendelea kusambaratisha familia na kuwalazimisha kufungasha virago nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC maelfu ya wakimbizi wa ndani wanatafuta faraja kwa kusaidiana  kupitia ushirika ulioanzishwa kwa minajili ya kuchagiza ulinzi wa haki za binadamu na kusaka suluhu ya

Sauti -
2'2"

19 Disemba 2018

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anaangazia

Sauti -
11'52"

Harakati za Rebeca Gyumi za kumkomboa mtoto wa kike Tanzania zatambuliwa UN

Washindi wa tuzo ya haki za binadamu ya Umoja wa  Mataifa kwa mwaka 2018 hii leo wamepatiwa tuzo hizo kwenye makao makuu ya umoja huo jijini New York, Marekani.

Sauti -
3'12"

Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika siku ya kimataifa Uhamiaji.

Uhamiaji ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi, nguvu na ufahamu. Uhamaji unawaruhusu watu kutafuta fursa mpya, kunufaisha jamii wanakotoka na wanakohamia pia.

Sauti -
1'23"

Changamoto za maisha zilinisukuma kuwa mchechemuzi- Rebeca Gyumi mshindi wa tuzo ya haki za binadamu 2018!

Mshindi wa tuzo ya mwaka huu haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Rebeca Gyumi kutoka Tanzania ambaye hii leo anakabidhiwa tuzo hiyo amezungumzia kile kilichomsukuma kuwa mchechemuzi wa  haki hususan za watoto wa kike kwenye taifa lake hilo la Afrika Mashariki.

Sauti -
2'43"

Ujerumani yatoa dola milioni 3.69 kuchagiza operesheni za WFP Tanzania

Harakati za shirika la mpango wa chakula duniani, WFP nchini Tanzania za kusaidia wakimbizi na wasaka hifadhi nchini humo kwa mwak

Sauti -
2'17"

11.12.2018

Leo ni siku ya milima duniani. Umoja wa Mataifa unapigia chepuo maeneo hayo kwa kaulimbinu milima ni muhimu. Biashara mtandaoni ikiwezeshwa yaweza kuliinua bara la Afrika  yasema

Sauti -
12'19"

Katu mtu au taasisi au serikali isijinasibu kuwa haki fulani ni za mtu au kundi fulani

Leo tarehe 10 Desemba mwaka 2018 ni kilele cha maadhimisho ya siku ya haki za binadamu duniani ambapo katika mfululizo wa wetu wa kuchambua ibara kwa ibara za tamko la haki za binadamu, tunatamatisha kwa kuangazia ibara ya 30.

Sauti -
1'35"

Mkataba wa uhamiaji wapitishwa rasmi

Baaa ya majadiliano ya miezi, wiki, siku na saa, hatimaye mkataba kwa kimataifa ambao ni wa kihistoria kuhusu wahamiaji leo umepitishwa Rasmi mjini Marrakesh Morocco. Grace Kaneita na taarifa kamili.

Sauti -
1'43"