Habari kwa Ujumla

Apu kwa ajili ya wahamiaji yazinduliwa:IOM

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya wahamiaji, hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limezindua Apu mahsusi kwa ajili ya wahamiaji ijulikanayo kama MigApp.

Sauti -

Machafuko mapya, misaada ya kibinadamu zaidi yahitajika YEMEN

Machafuko mapya yameibuka magharibi mwa pwani ya Yemen na kusababisha watu kuyakimbia makazi yao

Zaidi ya watu 1,400 wamekimbilia majimbo ya Taizz na Hudaydah na kwenda maeneo mengine ambako huko wanahitaji misaada ya kibinadamu

Sauti -

Makombora yetu "hayakiuki" kanuni zozote- Korea Kaskazini

Hoja ya Korea Kaskazini kuendelea kufanya majaribio ya nyuklia kinyume na makubaliano ya kimataifa imejadiliwa kwa kina leo kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakikutana mawaziri wa mambo ya nje na mabalozi ambao nchi zao ni wajumbe wa baraza hilo.

Sauti -

Mshikamano wakati wa dhiki ndio faraja yangu: Midori

Hivi karibuni tetemeko la ardhi nchini Mexico lilisababisha vifo, majeruhi na mamia ya watu kukosa makazi.

Sauti -

UNHCR yanusuru wakimbizi 74 waliokuwa wanashikiliwa Libya

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limefanikiwa kuwahamisha wakimbizi 74 waliokuwa wanashikiliwa huko Libya na ku

Sauti -

Wakimbizi wa Darfur walioko CAR waanza kurejea nyumbani:UNHCR

Wakimbizi wa Sudan waliokuwa kwenye kambi za Bambari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, wameanza kurejeshwa kwa hiyari nyumbani kufuatia uzinduzi wa zoezi hilo unaondeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Magonjwa ya msimu yagharimu maisha ya zaidi ya watu 650,000

Ripoti mpya ya Shirika la afya duniani WHO na kituo cha kudhibiti wa magonjwa cha Marekani, CDC,  imesema  zaidi vifo 650,000 kila mwaka vinahusishwa na magon

Sauti -

Kituo cha kupima TB Kibong’oto kuleta nuru kwa wachimbaji madini

Vumbi vumbi wanalokumbana nalo wachimba madini wadogo limeendelea kuwa mwiba katika afya zao.

Sauti -

Seneti Mexico msipitishe muswada wa sheria Mexico: Wataalam

Muswada wa sheria mpya unaolenga kuvipatia vikosi vya ulinzi nchini Mexico kujikita na kazi za polisi bila  kuwajibika kwa jamii unatia shaka kuhusu haki za binadamu

Hayo yamesemwa na wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu hii leo huko Geneva Uswisi.

Sauti -

Hotel iza Phuket zachukua hatua kuhifadhi baharí

Shirika la umoja wa matafa la mazingira UNEP limekaribisha jitihada za muungano wa hoteli za kifahari za Phuket nchini Thailand pamoja na maduka mengine makubwa kwenye

Sauti -