Habari kwa Ujumla

Idadi ya wahitaji wa maji Damascus yafikia milioni 5.5

Nchini Syria takribani watu milioni 5.5 kwenye mji mkuu Damascus, bado wanakabiliwa na uhaba wa maji kufuatia kuharibiwa kwa mabomba makuu yanayosafirisha maji tangu tarehe 22 mwezi uliopita.

Sauti -

WHO kusambaza ARVs Benghazi

Shirika la afya duniani, WHO limesema kiwango cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi huko Benghazi, nchini Libya kimeongezeka tangu kuanza kwa uhasama mwaka 2011

Sauti -

Djinnit apongeza hatua ya CENCO huko DRC

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu barani Afrika, Saïd Djinnit amepongeza CENCO ambalo ni jumuiko la maaskofu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ,

Sauti -

Umoja wa Mataifa walaani shambulio la kigaidi Istanbul Uturuki.

K

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani shambulio la kigaidi katika klabu ya usiku mjini Istanbul Uturuki, lililotekelezwa wakati wa sherehe za kuupokea mwaka mpya.

Sauti -