Habari kwa Ujumla

Tumakinike ili tulinde mali za kitamaduni kwenye mizozo- Azoulay

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limepokea ripoti ya utekelezaji wa azimio lake la ambalo pamoja na mambo mengine linalaani uharibifu na usafirishaji wa mali za kitamaduni kwenye eneo yenye vita, kitendo ambacho kinafanywa na vikundi vya kigaidi.

Sauti -

Shule ya Michungwani, Handeni Tanga yapata jibu la utoro kwa wanafunzi

Lengo namba 4 la malengo endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs, linapigia chepuo elimu bora. Hii inamaanisha pamoja na mambo mengine watoto siyo tu waandikishwe shule bali pia wamalize masomo yao hadi mwisho bila kukosa.

Sauti -

Tamasha la Kusini-Kusini 2017 lakunja jamvi Uturuki

Tamasha la kimataifa la ushirika wa Kusini-Kusini mwaka 2017 leo limekunja jamvi mjini Antalya Uturuki huku umoja wa Mataifa na wadau wakifurahia matokeo .

Sauti -

WFP na UNFPA washirikiana kuokoa barubaru Laos

Mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwe lile la mpango wa chakula duniani WFP na lile idadi ya watu ulimwenguni

Sauti -

Dungusi kakati ni jibu la njaa- FAO

Shirika la chakula na kilimo duniani,

Sauti -

Makubaliano ya kimataifa kuhusu uhamiaji yasisahau watoto- UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema makubaliano ya kimataifa kuhusu uhamiaji duniani, ni lazima yajumuishe watoto wal

Sauti -

Palestina na Israeli wakae meza moja kumaliza tofauti zao : Guterres

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limekutana leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kuonyesha mshikamano na wapalestina, ili kujadili mustakabali wa eneo hilo ambalo limekuwa katika migogoro kwa miongo zaidi ya mitano.

Sauti -

Baraza la Usalama lataka suluhu ya kisiasa kwa mzozo rasi ya Korea

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na kikao kuhusu harakati za kutokomeza silaha za nyuklia huku hoja ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la kombora la masafa marefu usiku wa kuamkia leo ikipatiwa kipaumbele.

Sauti -

Marufuku ya "viroba" Tanzania yaleta nuru kwa vijana

Katika ajenda ya Umoja  wa Mataifa ya  malengo ya  maendeleo endelevu SDGs au ajenda  2030, vijana kama nguvu kazi na mustakabali wa dunia wanapewa jukumu la kijiendeleza ili kujikwamua na suala la umasikini siku za usoni.

Sauti -

UNHCR yapongeza hatua ya kuanzishwa kwa makazi ya mpito ya wakimbizi Libya

Shirikia la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limekaribisha uamuzi wa Libya wa kuanzisha kituo cha mpito kwa ajili ya waha

Sauti -