Habari kwa Ujumla

Dawa za kuua wadudu mashambani zahatarisha maisha ya barubaru

Katika juhudi za kuchangia kulinda sayari dunia dhidi ya uchafuzi, wataalam na wasimamizi wameungana na wanachama wa mkataba wa Rotterdam na Stockholm wa kamati ya kutathmini kemikali mashambani huko Roma, Italia kutathmini baadhi ya kemikali zitakazojumuishwa katika mikataba miwili inayolenga ku

Sauti -

Ubunifu Burundi wahakikisha hedhi salama kwa wasichana

Idadi kubwa ya wasichana na wanawake nchini Burundi wana matatizo ya utumiaji  taulo za kike au sodo. Asilimia kubwa kutokana na ukosefu wa pesa wanatumia nguo, huku wengine wakitumia majani na hivyo kuwasababishia athari kubwa za kiafya .

Sauti -

Maji na usafi ni changamoto kwa wakimbizi wa Rohingya: IOM

Upatikanaji wa maji safi na mazingira ya usafi ndio changamoto kubwa inayowakabili wakimbizi wa Rohingya waliongia Bangladesh kutokea Myanmar limesema leo shirika la kimataifa la uhamiaji IOM.

Sauti -

Maelfu ya raia wa Cameroon wakimbilia nchini Nigeria

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi , UNHCR, pamoja na mamlaka ya  Kusini Mashariki mwa Nigeria, wamepokea maelfu  ya wa

Sauti -

Jukwaa laanza Bahrain likiangazia ujasiriamali na SDGs

Jukwaa la kimataifa kuhusu uwekezaji katika ujasiriamali linaanza leo huko Manama nchini Bahrain kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya uwekezaji, ujasiriamali na malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -

IAEA yakutana na mawaziri kujadili mustakabali wa matumizi ya nyuklia

Shirika la kimataifa la nguvu za atomiki IAEA, limefungua  rasmi hii leo huko Abu Dhabi, Falme za kiarabu, mkutano wa kimataifa wa karne ya 21 wa nguvu za nyuklia unaojumuisha mashirika matano ya kimataifa,  mawaziri kutoka nchi 67  duniani na wajumbe kutoka asasi za kiraia wapatao 700, ili kujad

Sauti -

UNAMID yafunga rasmi vituo 11 Darfur, Sudan

Mpango wa pamoja Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika wa kulinda amani Darfur nchini Sudan UNAMID, umefunga rasmi vituo kumi na moja hii leo huko Darfur na kuvikabidhi rasmi kwa serikali ya Sudan katika kutimiza makubaliano ya azimio la Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa nambari 2363 la mwak

Sauti -

Uharibifu wa vyanzo vya maji unachangia katika uhaba wa maji Kagera, Tanzania

Wakati nchi zikiendelea kuhimizwa kulinda mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, nchi na jamii zinajizatiti kuchukua hatua ili kuhakikisha jamii inatambua jukumu lake katika kulinda mazingira.

Sauti -

Wadau kutoka nchi 144 wakutana Rwanda kujadili mustakabali wa rasilimali za mimea

Kikao cha 70 cha mkataba kuhusu rasilimali za mimea kwa ajili ya chakula na kilimo kimeanza leo huko Kigali nchini Rwanda kwa lengo la kufikia mwafaka wa kuimarisha ushirikiano illi kuhakikisha vizazi vijavyo vitanufaika  na lishe ya chakula na kilimo itokanayo na mimea.

Sauti -

Kana kwamba vita havitoshi, njaa yaizogoma Kasai DRC:Beasley

Njaa inalizonga jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ambalo pia limeghubikwa na machafuko amesema mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpangio wa chakula duniani

Sauti -