Habari kwa Ujumla

Vyombo vya habari vyazidi kuminywa nchini Misri

Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wameeleza wasiwasi wao juu ya vitendo vya serikali ya Misri kubinya uhuru wa kujieleza wa vyombo vya habari nchini humo.

Sauti -

Ukosefu wa usalama unatukwaza vijana DRC- Sehemu ya pili

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ghasia hususan mashariki mwa nchi hiyo zimesababisha maelfu ya watu kusaka hifadhi nchi jirani. Maisha ugenini ni ya kuwezesha mkono kwenda kinywani lakini mawazo ni kurejea nyumbani.

Sauti -

WHO na wadau wahaha kudhibiti Kipindupindu Nigeria

Shirika la afya ulimwenguni, WHO na wadau wake wamechukua hatua za dharura kusaidia mamlaka nchini Nigeria kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu k

Sauti -

UM wailaani Korea Kaskazini kwa kurusha kombora

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa   limelaani vikali tukio la Jamhuri ya kidemkrasia ya watu wa Korea, DPRK kurusha kombora na kuvuka kisiwa cha Japan.

Sauti -

MONUSCO yalaani ofisi zake kuingiliwa na askari wa DRC bila ruhusa

Mwakililishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemorkasia ya Congo, DRC  Maman Sidikou amelaani vikali kitendo cha vikosi vya jeshi la nchi hiyo kuingia bila ruhusu kwenye of

Sauti -

Mataifa mawili ndio muarobaini kwa Israel na Palestina- Guterres

Katibu Mkuu  wa Umoja wa mataifa António Guterres akiwa katika ziara ya siku tatu  huko Mashariki ya Kati amesema ni muhimu kuanzisha  upya mchakato wa amani unaoaminika.

Sauti -

Wahamiaji 50 wa Ethiopia waliokwama puntland warejea nyumbani- IOM

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM, limewezesha wahamiaji 50 wa Ethiopia waliokuwa wamekwama kwenye eneo lililojitenga la Puntland huko Somaliland kurejea nyumbani.

Sauti -

Walibya hawaamini kuwa ni hohehahe ndani ya nchi tajiri- Salamé

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limepokea ripoti kuhusu hali ya kiusalama, kiuchumi na kijamii nchini Libya ambapo wajumbe wamejulishwa kuwa hali ya kiuchumi inazorota.

Sauti -

Dola milioni 200 kusaidia Yemen kukabili Kipindupindu

Benki ya Dunia imetangaza mkopo nafuu wa dola milioni 200 kwa Yemen ili iweze kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Sauti -

Vijana wapaswa kuchangamkia fursa: Kijana Fatma

Uthubutu na kusaka fursa badala ya kusubiri miujiza ni nyenzo muhimu ya mafanikio kwa vijana, amesema Fatma Said Ahmed, Mwanzilishi wa taasisi ya StandforHumanity na pia mshiriki wa mwaka  2016 wa kundi la viongozi vijana la Michael Johnson.

Sauti -