Habari kwa Ujumla

Kimbunga Mora chasambaratisha kambi za wakimbizi wa Rohingya

Kimbunga Mora kilichokuja na upepo mkali wa kilometa 117 kwa saa, kimepiga Kusini-Mashariki mwa Bangladesh Jumanne, na kuathiri mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Rohingya katika kambi za Kutupalong na Nayapara, limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi,

Sauti -

Mabadiliko ya tabianchi ni suala nyeti na kipaumbelele cha UM- Lajèák

Lazima Umoja wa Mataifa uendeleze jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabiachi ili kuwafikia watu wa mashinani amesema Rais mteule wa kikao cha 72 cha baraza kuu la umoja huo Miroslav Lajèák, Lajèák [Mirosalv Laicheki] atakayeanza majukumu yake wakati wa kikao cha baraza hil

Sauti -

Wapalestina wanastahili ajira zenye hadhi-ILO

Miongo mitano ya kukaliwa imesababisha adha kubwa katika soko la ajira kwenye eneo linalokaliwa la Palestina na kufanya haja ya kufufua mchakato wa amani kuwa ni kitu cha lazima imesema ripoti inayotolewa kila mwaka ya shirika la kazi duniani

Sauti -

Dola milioni 3 zaidhinishwa kusaidia janga la kibinadamu Kasaï

Mratibu wa masuala ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRc Mamadou Diallo ameidhinisha kiasi cha dola milioni Tatu kwa ajili ya usaidizi wa kibinadamu kwenye majimbo yaliyoko ukanda wa Kasaï nchini humo.

Sauti -

UNHCR yawaripoti polisi wafanyakazi wake Kenya kwa udanganyifu Kakuma

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linachukua hatua kadhaa ili kuimarisha uongozi na usimamizi wa operesheni zake

Sauti -

Hebu legezeni masharti misaada ifikie walengwa Syria- - O’Brien

Sikuja hapa leo kusaka upendeleo! Ni sehemu ya hotuba ya mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uratibu wa misaada ya kibinadamu, OCHA, Stephen O’Brien wakati akihutubia Baraza la Usalama hii leo kuhusu hali Mashariki ya Kati, wakiangazia zaidi Syria.

Sauti -

Mabadiliko ya tabianchi hayana mjadala, shiriki au usalie nyuma: Guterres

Treni endelevu ishang’oa nanga , panda twende au usalie nyuma.

Sauti -

Watu laki 700,000 Nigeria wanahitaji msaada haraka:UM

Takribani watu laki 7 ambao hawajafikiwa na misaada ya kibinadamu wanaishi katika hali ya taharuki Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na wanahitaji msaada wa haraka umesema Umoja wa Mataifa Jumanne.

Sauti -

Guterres alaani shambulio la Baghdad

[caption id="attachment_318832" align="aligncenter" width="615"]hapanapaleiraq

Sauti -

Siwezi kuwaficha hali Yemen haina matumaini yoyote- Ahmed

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo wamejulishwa kwamba hakuna dalili zozote za kumaliza kwa mzozo nchini Yemen, mzozo ambao licha ya kusababisha vifo, pia umesababisha njaa na magonjwa.

Sauti -