Habari kwa Ujumla

WFP yasaidia raia zaidi ya milioni moja kaskazini mashariki mwa Nigeria

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema kuwa tangu mwanzo wa mwezi huu wa Desemba, limetoa msaada wa chakula au fedha kw

Sauti -

UNAMI yalaani utekaji wa mwandishi wa habari huko Iraq

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq (UNAMI) umelaani utekaji wa mwandishi wa habari wa Iraq, Bi Afrah Shawqi, na watu wenye silaha wasiojulikana kutoka nyumbani kwake Jumatatu usiku Desemba 26.

Sauti -

Afya ya uzazi ni msingi wa kuepuka VVU na Ukimwi

Afya ya uzazi kwa watoto wa kike na wasichana barubaru ni msingi wa kundi hili kuweza kujichanua na kufikia kiwango cha juu zaidi cha elimu.

Sauti -

Kukatwa kwa bomba kuu la maji Damascus, kwakosesha maji mamilioni ya watu

Umoja wa Mataifa ina wasiwasi kwamba wakazi takriban milioni nne katika mji mkuu wa Syria, Damascus na maeneo ya jirani hawana maji tangu Desemba 22 baada ya bomba kuu la kusambaza maji kukatwa .

Sauti -

UM wakaribisha sitisho la mapigano kote Syria

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria, Staffan de Mistura amekaribisha tangazo lililotolewa hii leo la kuanza kwa sitisho la mapigano maeneo yote ya nchi hiyo.

Sauti -

Chuki dhidi ya wageni ikomeshwe: Eliasson

Viongozi kote duniani wametakiwa kuacha hima kuwagawanya watu katika umimi na usisi, amesema Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mat

Sauti -

Wataalamu wa UM wapongeza Marekani kuondoa sheria baguzi

Kubaguliwa kwa misingi ya rangi au kidini hadi sasa hakujaleta ufanisi wowote kwenye vita dhidi ya ugaidi, wamesema wataalam wawili wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

UNESCO yalaani mauaji ya mchapishaji na mwandishi wa habari

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, ametaka  uchunguzi wa kin

Sauti -

Visa na mikasa vya wahamiaji Marekani, mhamiaji asimulia alivyotiwa nguvuni sehemu ya 2.

Karibu katika mfululizo wa makala makala ya kusisimua kuhusu madhila ya wahamiaji. Mhamiaji kutoka Kenya Mirara Jogu, anasimulia visa na mikasa ikiwamo ubaguzi aliokabiliana nao kwa zaidi ya miaka 20 ambayo ameishi Marekani.

Sauti -

Msaada toka EU wanusuru maelfu ya wakimbizi: WFP

Shirika la mpango  wa chakula duniani WFP, limekaribisha kuendelea kwa usaidizi kati ya Muungano wa Ulaya EU na shirika hilo ambap

Sauti -