Hatutaondoka Sudan Kusini, tupo hapa na tutaendelea kujiimarisha kwa maslahi ya wananchi, ni kauli ya Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, Hilde Johnson alipozungumza na waandishi wa habari mjini Juba, ikiwa ni zaidi ya wiki moja tangu mapigano ya wenyewe kwa