Kitabu maalum cha anuani, ruznama ,za mashirika ya kusaidia kupinga biashara haramu ya usafirishajii wa binadamu kilichochapishwa na shirika la kimataifa la uhamiaji , IOM, kinazinduliwa August 5 mjini Dar es salaam.Ruznama hiyo inatoa maelezo na anuani za mashirika ya kinadamu ya serikali, asasi