Habari kwa Ujumla

Global Fund yazindua utaratibu mpya wa kutoa ufadhili

Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria, Global Fund, umezindua utaratibu mpya wa kufadhili mapambano hayo, ambao utawahusisha wadau wote kikamilifu.

Sauti -

UNAIDS na UNDP zaunga mkono pendekezo la kusaidia nchi maskini kuendeleza na kuongeza ugawaji wa dawa muhimu

Shirika linalohusika na masuala ya HIV na UKIMWI, UNAIDS na Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP, leo yamezindu

Sauti -

UNICEF yaelezea kushtushwa na mauaji ya watoto 70 kwa makombora Aleppo

Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limeelezea kushtushwa na ripoti za mauaji ya watoto 70 katika shambulizi la makombora

Sauti -

Mzozo wa Mali umesambaratisha elimu na riziki za watu: OCHA

Mkuu wa operesheni za Afisi ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) Bwana John Ging, amesema kuwa madhara ya mzozo wa Mali ni makubwa mno, mzozo huo ukiwa umeathiri shughuli zote za maisha.  .

Sauti -

Ban akutana na viongozi wa UAE Dubai na Abu Dhabi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Sheikh Mohammad bin Rashed Al Maktoum, ambaye ni Waziri Mkuu wa ufalme wa United Arab Emirates, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje, Dr. Mohammad Gargash.

Sauti -

Ban asifu makubaliano ya utaratibu wa kutafuta amani na usalama DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesifu hatua ya nchi kumi na moja za eneo la Maziwa Makuu kutia saini makubaliano ya utaratibu wa amani, usalama na ushirikiano kwa ajili ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na eneo zima.

Sauti -

Hatma ya amani DRC, macho na masikio yaelekezwa Addis Ababa

Hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC imeendelea kuwa gumzo kila uchwao kutokana na mazingira yasiyotabirika, ambayo hufanya wakazi wake kuendelea kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao iliyosheheni rasilimali lukuki; chini ya ardhi na juu ya ardhi.

Sauti -

WFP yaonya juu ya tatizo la chakula Yemen

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limeonya juu ya kitisho cha ukosefu wa chakula inayoikabili Yemen ikisema kuwa hali ya ukosefu wa chakula huenda ikapindukia kuzidi ile ya mwaka uliopita 2012.

Sauti -

Pillay ataka wavunjifu wa haki za binadamu Haiti kutokingiwa kifua

Mahakama Kuu ya Rufani nchini Haiti inatazamia kuendelea juma hili kuzikiliza kesi dhidi ya vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vilivyofanyika wakati wa utawala wa rais wa zamani wa nchi hiyo Jean-Claude Duvalier, Kamishna wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu Navy Pillay ameitolea mwi

Sauti -

Myanmar imeendelea kupiga hatua kutekeleza mageuzi- Mtaalamu UM

Mtaalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Myanmar amesema nchi hiyo imeanza kupiga hatua kwa kuchomoza mifumo inayozingatia misingi ya haki za binadamu lakini ameonya kuwa safari bado ni ndefu.

Sauti -