Habari kwa Ujumla

Ukame unasababisha matatizo ya chakula kwa watu 60,000 Djibouti:WFP

Watu elfu 60,000 katika maeneo ya vijijini nchini Djibouti wanakabiliwa na upungufu wa chakula kutokana na ukame ambao umeikumba nchi hiyo tangu miaka sita iliyopita limesema shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP.

Sauti -

Ban atilia shaka mvutano wa kisiasa nchini Papua New Guinea

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametilia shaka namna hali mbaya ya kisiasa inavyotokota nchini Papua New Guinea, wakati ambapo wanasiasa wawili wamejitangaza kuwa na uhalali wa kuendesha nchi hiyo.

Sauti -

Chad ilishindwa kumkamata rais Bashir:ICC

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imesema kuwa Chad haikutimiza wajibu wake wa kushirikiana na mahakama hiyo kwa kushindwa kumkam

Sauti -

Kujiondoa kwa Canada kutoka kwa makubaliano ya Kyoto ni hatua ya kujutia:UM

Mkuu wa masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa kwenye Umoja wa Mataifa Christiana Figueres amesema kuwa hatua ya kujiondoa kwa Canada kutoka kwenye makubaliano ya Kyoto ni jambo la kujutia na kuyataka mataifa yaliyostawi kutekeleza ahadi yaliyotoa kwenye mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa ulioa

Sauti -

Kamishna wa haki za binadamu ahofia maafa zaidi Syria

Mambo imezidi kuchacha nchini Syria ambako ripoti zinasema kuwepo kwa ongezeko la watu wanaopoteza maisha, Kamishna wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameonya juu ya kile alichokiita uwezekano wa kusambaa machafuko katika maeneo ya miji mingine muhimu.

Sauti -

UM waitataka DRC kuyachukulia kwa uzito wa pekee malakamiko wakati wa uchaguzi mkuu

Umoja wa Mataifa umeitaka tume ya taifa ya Congo kuyachukulia katika uzito wa pekee malalamiko yaliyotolewa kuhusiana na uchaguzi mkuu uliomalizika hivi karibuni ambao ulilalamikiwa na baadhi ya waangalizi walioukosoa wakidai kuwepo kwa ukiukwaji wa kanuni.

Sauti -

Mwafrika wa kwanza achaguliwa kuwa mwendesha mashitaka mkuu wa ICC

Mwanamke wa Kigambia amekuwa Mwafrika wa kwanza kuteuliwa kushika wadhifa wa mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC

Sauti -

Nchi zinazoendelea zinakabiliwa na wimbi jipya la uharamia wa kimtandao :UM

Umoja wa Mataifa umeonya kuwa nchi zinazoendelea huenda sasa zikakabiliwa na hali ngumu ya uhalifu wa kimtandao na kusisitiza haja ya kuibuliwa kwa mbinu za haraka za kukabiliana na wimbi hilo jipya.

Sauti -

Ban akaribisha kuapishwa kwa serikali mpya nchini Yemen

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekaribishwa kuapishwa kwa serikali ya umoja nchini Yemen akiitaja kama hatua muhimu ya utekelezwaji wa mabadiliko nchini humo.

Sauti -

Ban awataka vijana kushiriki katika kuilinda dunia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito kwa vijana kusaidia kupunguza changamoto zinazoikumba dunia zikiwemo za mabadiliko ya hali ya hewa ili kuvihakikisha maisha mema vizazi vinavyokuja.

Sauti -