Habari kwa Ujumla

Kuwekeza kwa watoto linastahili kuwa suala kuu katika kupambana na ugonjwa wa ukimwi

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF linatoa wito kwa wafadhili kuendelea kuunga mkono mipango inayohusiana na ugonjwa wa ukimwi

Sauti -

FAO, IFAD na WFP wamewasaidia watu milioni 22 kwa uwekezaji wa wa kilimo wa EU

Katika miaka miwili tu shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Rais wa Baraza Kuu apongeza hatua ya kutolewa ripoti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu Bahrain

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Nassir Abdulaziz amepokea ripoti ya uchunguzi kuhusu madai ya kufanyika vitendo vya ukandamizwaji wa haki za binadamu huko Bahrain na akatoa mwito utekelezwaji wa mapendekezo yaliyopo kwenye ripoti hiyo

Sauti -

Ripoti ya UM yazionya nchi zilizoendelea kuhusu hali ya uchumi

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeonya kuwa dunia inaweza ikarejelea tena kwenye anguko la uchumi kama nchi zilizoendelea zitajikita kwenye mipango ya dharura ya utekelezajki uchumi.

Sauti -

Mwaka 2011 umekuwa wa kipekee kwa haki za binadamu:Pillay

Mwaka 2011 umekuwa ni wa kipekee katika masuala ya haki za binadamu amesema kamishina mkuu wa haki za binadamu hii leo.

Sauti -

UNIDO yamtangaza balozi wake kwenda angani

Shirika la viwanda na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNIDO limesema kuwa limemchagua mwanaanga Marcos Pontes raia wa Brazil kwenda angani kama balozi wake wa hisani. Katika tangazo lake leo, UNIDO imesema kuwa kuchaguliwa kwa mwanaanga huyo kimezingatia historia yake ya hapo nyuma.

Sauti -

Kiwango cha umaskini Latin Amerika kimepungua:UM

Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa inasema kuwa eneo la Latin Amerika limeshuhudua kuimarika kwa ustawi wa jamii na kufaulu kushusha kiwango cha umaskini kwa umbali mkubwa.

Sauti -

UNRWA kujenga shule kwenye ukanda wa Gaza

Shirika la Umoja wa mataifa linalowahudumia wakiimbizi wa kipalestina UNRWA linasema kuwa limebuni ushirikiano na msanifu maarufu wa majengo ambaye atajenga mashule 20 yasiyoathiriwa na mazingira kwenye ukanda wa Gaza.

Sauti -

Kuwe na ushirikiano kati ya wanajeshi na mashirika ya kibinadamu

Mkuu wa huduma za misaada kwenye Umoja wa Mataifa ameyataka mashirika ya kutoa huduma za kibinadamu na vikosi vya jeshi kuweka mikakati ya kuporesjha ushirikiano wao wakati wanapotoa huduma kunapotokea majanga ya kiasili.

Sauti -

Mcheza filamu maarufu nchini India ateuliwa balozi mwema wa UNICEF

Mmoja wa wacheza sinema maarufu nchini India hii leo ameteuliwa kuwa balozi mwema wa shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF ili ku

Sauti -