Habari kwa Ujumla

Jitihada za AMISOM kulinda amani nchini Somalia

Makala yetu wiki hii inaangazia jitihada za kikosi cha kulinda amani cha muungano wa Afrika nchini Somali cha AMISOM katika kuweka usalama na kukabiliana na makundi yaliyo na nia ya kuiangusha serikali ya mpito ya Somalia na pia katika kuhakikisha kuwa misaada imewafikia mamilioni ya watu ambao

Sauti -

UM wahaidi kuendelea kuisadia Pakistan

Umoja wa Mataifa umehaidi leo kuwa utaendelea kuipiga jeki Pakistan katika wakati ambapo nchi hiyo inaendelea kujitutumua kujijenga upya baada ya mafuriko ya mwaka uliopita yaliyosababisha hasara kubwa.Mafuriko hayo ambayo ni tukio kubwa kuwahi kuikumba nchi hiyo, yalisambabisha zaidi ya watu mil

Sauti -

Kuna haja ya kuwa na mchakato wa ufikiaji suluhu Libya-UM

Umoja wa Mataifa umeainisha hatua zinazoweza kuzika mzozo wa Libya kwa kusema kuwa lazima kuanzishwa mchakato wa maridhiano ili kukaribisha kipindi cha mpito kuelekea kwenye maamuzi ya umalizwaji wa mzozo huo.Kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya kisiasa ndani ya Umoja huo wa Mataifa, Libya inapas

Sauti -

Ban kumchagua mwanadiplomasi wa Uholansi kumwakilisha Afrika Magharibi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametangaza kusudio lake la kutaka kumteua mwanadiplomasia wa Uholansi kuwa mwakilishi wake nchini Ivory Cost na kusimamia vikosi vya kulinda amani katika eneo la afrika magharibi.

Sauti -

Vitendo vya ubakaji vinavyowahusu askari wa kulinda amani vyapungua

Ripoti mpya zilizotolewa kuhusiana na madai ya kuhusika kwenye vitendo vya ubakaji vinavyodaiwa kufanywa na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na nchini Liberia zinaonyesha kupungua kwa zaidi ya asilimia 75.Ripoti hizo zimezingatia kipindi c

Sauti -

Mafunzo ya mtandaoni yaanzishwa ili kuimalisha hali ya usalama wa chakula

Katika juhudi za kukabiliana na mkwamo wa ukosefu wa chakula, kamati ya usalama wa chakula duniani imeanzisha jukwaa maalumu ambalo litawajibika na utowaji ushari kupitia mtandao wa mawasiliano.Taarifa iliyotolewa na kamati hiyo imesema kuwa kusudio kubwa la kuanzishwa kwa ushauri wa mtandaoni in

Sauti -

Upatikanaji wa maji safi na salama ni haki ya msingi-Afisa wa UM

Afisa wa Umoja wa Mataifa amesisitiza haja ya kuimarishwa kwa mifumo ambayo itahakikisha kunafikiwa usawa kwenye upatikanaji wa maji safi na salama akisema kuwa hatua hiyo ndiyo muhimu hasa wakati huu kunakopiganiwa shabaya ya kukabuliana na umaskini.Rais wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa amesema

Sauti -

Baraza la usalama la UM laongeza muda wa kikosi cha UM nchini Ivory Coast

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudumu kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Ivory Coast (UNOCI) kwa mwaka mmoja zaidi ili kulisaidia taifa hilo kukabiliana na changamoto zinazolikabili kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu uliopita.

Sauti -

Pande zinazozozana Libya haziko tayari kukubaliana- Mjumbe wa UM

Hakuna hatua iliyopigwa kwenye ufikiaji suluhu ya kisiasa nchini Libya wakati pande zote zikiendelea kuhanikiza tofauti zao, tangu pale ilipozuka wimbi jipya la kutaka kuondosha madarakani utawala uliopo.

Sauti -

Ni makosa makubwa kufungamanisha mashambulizi ya Norway na Uislam Mtaalam wa UM

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na maeneo ya uhuru wa kuabudu amesema kuwa taarifa za awali za vyombo vya habari ambazo zilihusisha tukio la mauwaji ya kutisha ya huko Norway na magaidi wa kiislamu kuwa ni taarifa zakuuzi na kufedhehesha zilizokimbilia kuaminisha mambo yasiyo ya kweli.

Sauti -