Utafiti uliofanywa na shirika la umoja wa mataifa linalohusika na uhamiaji IOM nchini Misri,umebainisha kuwa vijana wengi nchini humo bado wanashauku ya kwenda sehemu nyingine lakini hata hivyo mabadiliko ya kisiasa yaliyojotokeza hivi karibuni yanawatatiza kufia maumuzi ya moja kwa moja.