Sauti Mpya

Mamia ya watu wanaendelea kukimbia machafuko Abyei

Watu takribani 60,000 wamelazimika kukimbia kwenye jimbo lenye kuzozaniwa na Abyei nchi Sudan kutokana na mchafuko yanayoendelea umesema Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Pillay alaani matumizi ya nguvu dhidi ya waandmanaji Yemen

Kamishina mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay leo Jumanne amelaani matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya waandamanaji wanaopinga serikali nchini Yemen ambayo yamedaiwa kusababisha vifo na majeruhi wengi katika siku chache zilizopita.

Sauti -

IOM/WFP wanawasaidia wahamiaji Misrata

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP wanashirikiana kuwasaidia mamia ya wahamiaji waliokwama Misirata Libya.

Sauti -

Nafaka za dola bilioni 4 zinapotea Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara:FAO

Ripoti ya shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Viongozi wa dunia waongeza juhudi kukabili ukimwi:UNAIDS

Wakati vita vya ukimwi vikiwa katika kiwango cha juu viongozi wa dunia wanaonyesha nia ya kuongeza bidii katika vita hivyo umesema Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Pillay azungumzia dhuluma dhidi ya makundi yanayoipinga serikali nchini Syria na Libya.

Mkuu wa tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Navy Pillay amesema kuwa mbinu zinazotumiwa kukabiliana na waandamanaji wanaoipinga serikali nchini Lybia , Bahrain , Yemen na Syria ni ukiukaji wa haki za binadamu.

Sauti -

UNESCO yazungumzia mahitaji ya vituo vya utangazaji vya kimataifa nchini Misri na Tunisia

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO kwa ushirikiano na kituoa cha runinga nchini Ufaransa pamoja

Sauti -

Ukosefu wa lishe ya kutosha kwa watoto kushughulikiwa na wataalamu wa kimataifa

Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa zaidi ya watoto milioni 100 walio chini ya miaka mitano wana uzito kidogo , zaidi ya milioni 170 hawakui huku milion

Sauti -