Sauti Mpya

Guterres awakumbusha viongozi kuhusu deni yao ya huduma ya afya kwa wote

Katika Siku ya huduma za afya kwa wote, hii leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mastaifa  ametoa wito kwa viongozi wa dunia kutimiza ahadi waliyoitoa mwezi Septemba mwaka huu na kuhakikisha afya kwa wote ni hali halisi kwa kila mtu, kila mahali. 

Sauti -
2'5"

Mradi wa maji wa kutumia sola waleta faraja kwa wakimbizi Uganda

Mradi wa maji safi na salama unaoendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi kwenye makazi ya wakimbizi ya Bidibidi nchini Uganda umekuwa faraja sio tu kwa wakimbizi bali pia jamii zinazowahifadhi. 

Sauti -
1'36"

Balozi Mahiga wa Tanzania asema tamko la haki za binadamu lizingatie tamaduni na maadili ya taifa.

Wakati Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania ikiwa imepata uongozi mpya kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais wa Taifa hilo la Afrika Mashariki, John Magufuli, Waziri wa Katiba na Mambo ya Sheria Dkt.

Sauti -
2'31"

UNICEF yasema watoto milioni 166 hawatambuliki kwa kutosajiliwa baada ya kuzaliwa.

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF, inasema kushindwa kuwasajili watoto wachanga pindi wanapoza

Sauti -
1'27"

11 Desemba 2019

Je wafahamu kuwa usajili wa vizazi bado ni tatizo kubwa hasa kwa nchi za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara?

Sauti -
11'13"

Pombe zilizoongezwa nguvu Bukavu zachochea ukatili wa kingono jimboni Kivu Kusini

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC,  vitendo vya ukatili wa kingono hususan ukatili majumbani huko DRC ukitambulika kama ujeuri wa kijinsia vimekuwa mwiba kwa maendeleo ya jamii,hususan wanawake, wasichana na watoto.

Sauti -
3'40"

Ndoto ya kuwa daktari wa meno yatimia kwa mkimbizi Sidra kutoka Syria

Hakuna faraja kubwa unayoweza kuipata kama pale ndoto zako zinapotimia, na hii ndio hali anayoihisi Sidra Taleb mkimbizi kutoka Syria aliyetamani sana kusomea udaktari wa meno, na kwa ukarimu wa serikali ya Uturuki sasa anatimiza ndoto hiyo. 

Sauti -
1'49"

Hatua mujarabu yachukuliwa kuhakikisha tabiri za hali ya hewa zina 'mashiko'

Mashirika 12 ya kimataifa yanayotoa msaada katika nchi zinazoendelea leo yamekuja pamoja kwenye mkutano wa 25 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, COP25 unaofanyika huko Madrid nchini Hispania  na kuzindua ushirika mpya kwa ajili ya kuboresha masuala ya utabiri wa hali ya hewa

Sauti -
1'48"

Viijana kutoka Kenya wazungumzia nafasi ya maandamano na haki za binadamu

Mchango wa vijana umeelezwa kuwa ni muhimu na wa lazima katika kuhakikisha haki za binadamu zinadumishwa kote dunani. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

Sauti -
1'25"

10 Desemba 2019

Hii leo siku ya haki za binadamu duniani nafasi ya vijana inapigiwa chepuo na ikielezwa kuwa wana haki ya kuandamana kudai haki zao huku vijana nchini Kenya nao wakisema kuwa hiyo ni haki yao lakini wakati mwingine hata kuandamana hakuleti matokeo chanya hadi pale serikali inapoguswa.

Sauti -
10'40"