Kabrasha la Sauti


Wazee wazungumza historia ya mafuriko kwenye Ziwa Albert

Maelfu ya watu wanendelea kuathiriwa na mafuriko yanayoshuhudiwa katikaa meneo mbalimbali hasa yale ya Ziwani nchini Uganda.

Sauti -
3'58"

UNFPA yaunga mkono serikali ya Ukraine kuzuia ukatili unaokabili wasichana na wanawake takriban milioni 11

Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA ambalo pia limejikita katika masuala ya kijinsia na afya ya uzazi limesema janga la corona au

Sauti -
2'47"

Uvuvi uko njiapanda licha ya umuhimu wake katika kukabiliana na umasikini-FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
1'59"

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la UN

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021.  

Sauti -
1'39"

23 Novemba 2020

Ungana na Flora Nducha kupata habari, makala na sauti kutoka mashinani.

Sauti -

Mashirika ya UN yaelezea hofua yake kutofikia wakimbizi 100,000 Tigray, Ethiopia

Mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo la mpango wa chakula duniani WFP na la kuhudumia Watoto UNICEF, leo yameelezea hofu yake ya kushindwa kuwaf

Sauti -
2'42"

Ko Ko amekuwa akifanya kazi tangu akiwa na umri wa miaka saba, kulikoni?

Filamu ya maisha halisi iliyotengenezwa na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa ILO kwa kushirikiana na kampuni ya PhotoDoc Association ya

Sauti -
2'35"

Hii ni dunia yetu na hii ni siku yetu-Watoto

Leo ni siku ya watoto duniani maudhui yakiwa "kutafakari dunia bora kwa kila mtoto", na watoto kutoka kila kona ya dunia kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
1'58"

Neno la Wiki- Nahau au Misemo

 Katika Neno la wiki Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo  anatufafanulia "Nahau au Misemo" ni nini 

Sauti -
1'33"

Hali ya haki za watoto hususan Afrika Mashariki

Leo ni siku ya watoto duniani ikimulika kile ambacho kila mtu anafanya kuhakikisha kuwa dunia ni salama kwa mtoto wakati huu wa janga    la ugonjwa wa Corona au COVID-19.

Sauti -
7'53"