Kabrasha la Sauti


Mtoto wa kiume atumbia mbinu kuepusha mtoto wa kike kuozwa

Nchini Ethiopia ambako asilimia 40 ya wasichana wanaolewa kabla ya kufikia umri wa miaka 18, msichana Tsigist Wudu Chekol ilikuwa kidogo tu awe miongoni mwa hao lakini akaponea chupuchupu na sasa ni mwanachama wa kikundi cha wasichana katika shule anayosoma, kinachopambana kuhakikisha katika jami

Sauti -
1'48"

Mauaji ya raia DRC yanachukiza, mamlaka wajibisheni wahusika- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Antonio Guterres amerejea wito wake wa kusitisha uhasama kimataifa na kuyataka makundi yote yenye silaha kuweka silaha hizo chini na kujiunga katika mc

Sauti -
1'26"

07 Januari 2021

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanza na wito wa Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres kwa mamlaka DRC kuchukua hatua kulinda raia na kuadhibu wahusika wa mauaji ya raia huko Beni, Kivu K

Sauti -
12'4"

NIlisaidiwa , sasa ni wakati wangu kusaidia :Liberee

Wahenga walinena ukishikwa shikamana, na ndivyo anavyofanya Liberee Kayumba ambaye ni manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi yaliyofanyika mwaka 1994, anasema yuko hai leo hii sababu ya msaada wa chakula wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP , ambao ulimuhamasi

Sauti -
2'12"

Buriani walindaamani wetu:MINUSCA

Umoja wa Mataifa kupitia mpango wake wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -
2'42"

Chanzo cha mizozo lazima kishughulikie kuhakikisha ajenda ya maendeleo inatimia:UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kushughulikia mazingira hatarishi na mzozo ni nguzo muhimu kwa ajili ya amani na usalama huku akisema mambo hayo pia ni kizuizi

Sauti -
3'41"

06 JANUARI 2021

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kuhakikisha mizozo inasitishwa na mizizi yake kukatwa kwa lengo la kudumisha amani na kufikia ajenda ya maendeleo ya 2030 hususan brani Afrika.

Sauti -
11'34"

Kijana, lazima utunze vizuri kumbukumbu za biashara yako ili uaminike-Ashford Kariuki

Ashford Kariuki ni kati ya vijana ambao wamenufaika na mkopo kutoka kwa hazina ya maendeleo ya vijana nchini Kenya ambayo ilibuniwa kwa lengo la kuwainua vijana walio na ndoto za kujiajiri na kujiendeleza kimaisha.

Sauti -
3'35"

Mapambano dhidi ya tabianchi, kijana Nkosi wa Zimbabwe atumia kipaji chake cha kuongea.

Nchini Zimbabwe kijana mdogo wa umri wa miaka 17 anatumia kipaji chake cha kuongea kuhamasisha mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -
1'6"

Mhamiaji asimulia mazingira ya Libya yalivyokuwa tete hadi akarejea nyumbani Sudan.

Kutana na muhamiaji Mohamed Ahmed Bushara aliyekwenda kusaka maisha Libya miaka mitano iliyopita lakini hali ngumu, ubaguzi , machafuko na kuwekwa rumande vilimkatisha tamaa ya kukimbiza ndoto hiyo na akakata shauri kurejea nyumbani Sudan kushika ustaaranu mwingine kwa msaada wa shirika la Umoja

Sauti -
2'22"