Kabrasha la Sauti


Janga la COVID-19 halikumzuia mzazi Ghana kuhakikisha watoto wanaendelea kujifunza

Nchini Ghana, janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 lililoibuka mwezi Machi mwaka jana wa 2020 lilitikisa shughuli za kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Sauti -
3'31"

Mwaka 2020 ulikuwa miongoni mwa miaka yenye joto zaidi duniani- WMO

Mwaka 2020 ulikuwa ni miongoni mwa miaka mitatu yenye joto zaidi kuwahi kurekodiwa huku ukichukua nafasi ya tatu baada ya mwaka 2016 kwa mujibu wa takwimu kupitia vipimo tano tofauti za shirika la Umoja wa utabiri wa hali ya hewa WMO.  Maelezo zaidi na Assumpta Massoi.

Sauti -
3'4"

Walinda amani CAR waimarisha doria

Kufuatia shambulizi la jana asubuhi karibu na Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, ambalo lilisababisha mlinda amani mmoja wa Umoja wa Mataifa kutoka Rwanda kupoteza maisha, mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -
1'50"

Mbinu za kiasili ni muarobaini wa kukabili mabadiliko ya tabianchi- UNEP

Karibu robo tatu ya mataifa kote duniani yameweka mipango ya kukabiliana na kuhimili mabadiliko ya tabianchi, lakini ufadhili na utekelezaji unaohitajika wa mipango hiyo ndio mtihani mkubwa kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira

Sauti -
3'7"

14 Januari 2021

Hii leo jaridani kwa kiasi kikubwa ni masuala ya mabadiliko ya tabianchi tukimulika ripoti ya shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP, kuhusu hatua thabiti za k

Sauti -
10'53"

Kufanyia kazi nyumbani kumedhihirisha mazingira duni ya kazi

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa ILO, imesema ongezeko la watu kufanyia kazi majumbani kutokana

Sauti -
2'59"

Tukijitahidi tutatokomeza PPR ifikapo 2030:FAO/OIE

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa

Sauti -
1'58"

Hellen Obiri, mwanajeshi kutoka jeshi la anga la Kenya anayetamba duniani kwa mbio 

Umoja wa Mataifa unasisitiza kuwa michezo ina uwezo wa kubadili dunia, ni haki ya msingi, nyenzo muhimu ya kuimarisha mshikamano wa kijamii na kuchagiza malengo ya maendeleo endelevu, amani, mshikamano na kuheshimiana na ndio maana katika makala ya leo tunamwangazia Hellen Obiri mwanariadha kutok

Sauti -
3'44"