Habari njema! Idhaa yetu ya Kiswahili ya Umoja wa Maitafa yaibuka kidedea katika tuzo za kimataifa za Kiswahili za Shaaban Robert katika ukuzaji wa msamiati!
Nchini Brazil, baada ya ugonjwa wa Corona au COVID-19 kusababisha vifo vya watu zaidi ya 200,000 na hali ya kutoweka kwa misitu ikishika kasi, familia, ndugu na jamaa zimeibuka na mpango wa k
Watu zaidi ya 5,000 wamefungasha virago siku za karibuni wakikimbia mashambulizi ya waasi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR hasa kwenye mji wa Magharibi wa Bouar na kuingia nchi jirani ya Cameroon kusaka usalama, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi
Wakimbizi nchini Jordan wameanza kupokea chanjo ya COVID-19 ikiwa ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa afya ambao unajumuisha raia wote, wakimbizi na wakazi. John Kibego na maelezo zaidi.
Leo Jumanne tunamulika utoaji wa chanjo ya COVID-19 kwa wakimbizi huko Jordan, kisha tunakwenda Cameroon kumulika wakimbizi waliofurushwa kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR kutokana na mach
Hii leo Jumatatu ni mada kwa kina tunapiga kambi Beni jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC ambako walinda amani kutoka Tanzania wanaohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo
Leo Ijumaa ni mada kwa kina ambapo tunaangazia hatua za kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona au COVID-19 katika shule ya Joram G.M Academy iliyoko, Matasia kaunti ya Kajiado nchini Kenya.