Kabrasha la Sauti


MWENYE PUPA HADIRIKI KULA TAMU

Katika kujifunza Kiswahili, tunapata ufafanuzi wa maana ya methali “MWENYE PUPA HADIRIKI KULA TAMU" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA.

Sauti -
34"

Jarida 24 Septemba 2021

Ni Ijumaa ya tarehe 24 mwezi Septemba mwaka 2021 karibu kusikiliza jarida na kama ilivyo ada ya kila Ijumaa tunakuletea mada kwa kina ambapo leo tunakuletea sehemu ndogo ya mahojiano marefu na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya hapo jana kuhutubia kwa mara yake ya kwanza katika Baraza

Sauti -
12'6"

Rais wa Tanzania ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA76

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amehutubia mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo kwenye makao makuu ya umoja huo jijini New York, Marekani ikiwa ni mara ya kwanza tangu ashike wadhifa huo mwezi Machi mwaka huu, huku akimulika masuala mbalimbali kuanzia uchumi, siasa, tabianc

Sauti -
1'52"

Jarida 23 Septemba 2021

Ni Alhamisi  ya tarehe 23  ya mwezi Septemba mwaka 2021 siku ya tatu ya mjadala mkuu wa mikutano ya ngazi ya juu ya Umoja wa Mataifa

Sauti -
9'56"

Wakulima nchini Ethiopia wanufaika na mradi wa IFAD

Mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa umefanyika hii leo jiijni New York, Marekani kando mwa mjadala mkuu wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA76 ambap

Sauti -
1'39"

Mradi wa ukuta mkubwa mzuri wa Kijani wapendezesha kambi ya wakimbizi nchini Cameroon

Mradi kabambe wa upandaji miti, ulioanzishwa mwaka 2018 katika kambi ya wakimbizi ya Minawao nchini Cameroon kwa ushirikiano kati ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi duniani,

Sauti -
1'40"

Jarida 22 Septemba 2021

Ikiwa leo ni Jumatano  tarehe 22 Septemba 2021 siku ya pili ya mjadala mkuu wa mikutano ya ngazi ya juu ya Umoja wa Mataifa #UNGA76 karibu kusikiliza jarida ambapo kubwa utakal

Sauti -
14'20"

Dkt. Getrude Mongella azungumzia ubaguzi wa rangi

Wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 76, leo likijikita na mjadala wa ngazi ya juu kuadhimisha miaka 20 tangu kupitishwa kwa azimio la Durban linalopinga ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa aina zingine, imeeldezwa kwamba hatua zimepigwa katika kupambana na ubaguzi wa rangi lakini bado kuna

Sauti -
3'35"

Watoto wenye  umri wa chini ya miaka 2 hawapatiwi chakula au virutubisho wanavyohitaij : UNICEF

Watoto wenye  umri wa chini ya miaka 2 hawapatiwi chakula au virutubisho wanavyohitaij ili waweze kukua vyema na hivyo kukwamisha makuzi yao, imesema ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani,

Sauti -
2'48"

UNESCO yautangaza mji wa Accra kuwa mji mkuu wa dunia wa vitabu kwa mwaka 2023

Mji mkuu wa Ghana, Accra umetangazwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO kuwa mji mkuu wa du

Sauti -
1'42"