Sauti Mpya

Wanawake wa kijijini huko Karagwe mkoani Kagera nchini Tanzania wachukua hatua kulinda tabianchi

Oktoba 15 ni siku ya kuwaenzi wanawake wa vijijini kutokana na mchango wao katika sekta mbalimbali za jamii. Kaulimbiu ya mwaka huu wa 2019 imejikita katika kuangazia jukumu muhimu walilonalo wanawake wa vijijini na wasichana katika kujenga mnepo wa kukabiliana na hali ya hewa.

Sauti -
3'33"

Zaidi ya watoto 67,000 wapokea zawadi ya viatu kutoka kwa mwanamuziki Anjelique Kidjo

Nchini Benin zaidi ya watoto wa kike 67,000 wa umri wa kati ya miaka 6 na 17 wiki hii wamepokea zawadi ya viatu kama sehemu ya ushirikiano baina ya wakfu wa Batonga unaosimamiwa na mwanamuziki nyota Anjelique Kidjo, shirika la TOMS na shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa

Sauti -
1'58"

Mtu mmoja kati ya tisa anakabiliwa na njaa kote duniani-WFP

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema zaidi ya watu milioni 800, ikiwa ni sawa na mtu 1 kati ya 9 kote duniani wanakabiliwa na njaa na kushindwa kumudu mahitaji ya msingi ya chakula. 

Sauti -
1'45"

Idadi kubwa ya watoto wanateseka kutokana na lishe duni duniani

Idadi kubwa ya watoto wanateseka kutokana na lishe duni na mifumo ya chakula ambayo inawadumaza, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
2'31"

15 Oktoba 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
10'46"

Kenya yahaha kulinda mazingira dhidi ya taka ya mafuta

Rasilimali ya mafuta huleta matumaini ya ukuaji wa uchumi wa nchi husika kwani utafutaji, uchimbaji na usafishaji wake huleta fursa nyingi zikiwemo ajira kupitia ukuaji wa viwanda. Lakini kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa  sekta ya mafuta pia  huhatarisha mazingira na afya kutokana na hewa ukaa ya v

Sauti -
4'3"

WHO yatiwa hofu na hali ya huduma za afya kaskazini-mashariki mwa Syria, OCHA nayo yazungumza

Shirika la afya duniani kuptia taarifa yake iliyotolewa mjini Cairo Misri, limeonesha wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya afya ya binadamu kaskazini mwa Syria ambako watu takribani 200,000 wameyakimbia makazi yao kutokana na ongezeko la operesheni za kijeshi tangu Oktoba 9 na hivyo watu milioni 1.5 wa

Sauti -
2'22"

Mradi wa UNHCR wa usaidizi wa makazi waleta nuru kwa wakimbizi wa Sudan Kusini nchini Kenya

Msaada wa fedha katika makazi ya wakimbizi ya Kalobeyei nchini Kenya unawaruhusu wakimbizi kujenga nyumba zao kwa kutumia vifaa vya ujenzi wanavyovinunua kutoka kwa jamii za wenyeji kupitia programu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
1'29"

14 Oktoba 2019

Miongoni mwa habari anazokuletea Assumpta Massoi hii leo katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa ni

Sauti -
10'41"

Kuanzia uzalishaji hadi mezani, kiasi kikubwa cha chakula kinapotea- FAO

Katika kuelekea siku ya chakula duniani ambayo kila mwaka hufanyika Oktoba 16, shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo

Sauti -
1'33"