Sauti Mpya

Kura kuhusu Yerusalem yaghubika mkutano wa Miroslav

Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinachofanyika kesho ili kujadili na kupigia kura azimio la kupinga uamuzi wa Marekani kutambua Yerusalem kama mji mkuu wa Israel, kimeghubika mkutano wa mwisho wa mwaka wa Rais wa Baraza hilo na waandishi wa habari hii leo kwenye makao makuu y

Sauti -

Uhaba wa maji kuendelea kuchochea ukosefu wa usalama duniani- Guterres

Vitisho vya amani,  usalama na utulivu duniani vinaongezeka na kuimarika kila uchao na hivyo kusababisha mazingira magumu zaidi ya kutatua mizozo duniani.

Sauti -

UNWomen yaalika wanaume kuonyesha mshikamano na wanawake

Ikiwa leo ni siku ya mshikamano duniani, shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UNWomen limetaka wanaume wasisalie kimya wakati huu ambapo vyombo vya habari vimegubikwa na habari za wanawake kukabiliwa na ukatili wa kingono. Patrick Newman na ripoti kamili.

Sauti -

Kampuni binafsi za ulinzi zatishia utulivu wa Ghana

Ghana kuweni macho na kampuni binafsi za ulinzi ambazo siyo tu idadi yao imeongezeka kama uyoga bali pia zinaweka upenyo wa askari mamluki.

Sauti -

Takribani watu 500 wakimbia mzozo DRC: UNHCR

Nchini Uganda wakimbizi wanazidi kumiminika kila uchao kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambapo habari zinasema kuwa kuanzia jana hadi leo takribani watu 500 wameingia nchini humo wakikimbia ghasia nchini DRC. Taarifa zaidi na John Kibego.

Sauti -

Filamu ya Háwar yaweka bayana ukatili dhidi ya wayazidi

Filamu ya Hawar kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa jamii ya wayazidi Kaskazini mwa Iraq imeweka bayana ukatili waliofanyiwa watu hao. Tupate taarifa Zaidi na Flora Nducha

(TAARIFA YA FLORA)

Sauti -

FAO na WFP kwa pamoja kukabiliana na njaa DRC

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa, lile la chakula na kilimo

Sauti -

Azimio kuongeza misaada ya kibinadamu Syria lapitishwa

Hali mbaya ya kibinadamu inayoendelea kuighubika syria leo imetawala kikao cha baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, ambapo maafisa wanaoshughulikia suala la kisiasa na kibinadamu nchini humo wametoa tarifa.

Sauti -

Hali bado tete kwa wanawake na watoto CAR- UNICEF

Mwaka 2017 umekuwa ni mwaka mgumu zaidi kwa maisha ya wanawake na watoto nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR/

Sauti -

Mchumia juani hulia kivulini- Magdalena

Mila za baadhi ya makabila katika bara la Afrika, zimesheheni changamoto za unyanyapaa kwa wajane wanapodai au kupigania mali za waume zao. Mara nyingi wanawake hao huishia kunyanganywa kila kitu na ndugu wa marehemu na kusababisha mgawanyiko katika familia.

Sauti -