Sauti Mpya

Ukalimani na utafsiri wachagiza diplomasia UM

Leo ni siku ya kimataifa ya utafsiri na ukalimani wa lugha ambapo Umoja wa Mataifa unaisherehekea kwa mara ya kwanza.

Sauti -

WFP kukata mgao wa chakula kwa wakimbizi 420,000 Dadaab na Kakuma kenya

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WPF, litapunguza kwa asilimia 30 mgao wa chakula kwa wakimbizi 420,000 walio kwenye kambi za Daadab na Kakuma nchini Kenya. Selina Jerobon na taarifa kamili

(TAARIFA YA SELINA)

Sauti -

Guterres aingiwa wasiwasi na kinachoendelea Cameroon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres amesema ana wasiwasi mkubwa kuhusu kile hali inayoendelea nchini Cameroon ikiwemo matukio ya hivi karibuni ya ukosefu wa usalama.

Sauti -

UNHCR yatoa ombi la ufadhili kwa ajili ya wakimbizi wa Burundi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeisihi jamii ya kimataifa isaidie wakimbizi wa Burundi na wenyeji wanaowah

Sauti -

Tume ya uchunguzi wa haki Burundi yaongezwa mwaka mmoja:UM

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa leo limehitimisha kikao chake mjini Geneva Uswis kwa kupiga kura na kupitisha maazimio matano muhimu likiwemo la haki za binadamu nchini Burundi.

Sauti -

Usipokuwa tayari kubadilika hakuna awezaye kukubadilisha- Rocky Dawuni

Malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGs yapo 17 na Umoja wa Mataifa unatumia kila mbinu kuhakikisha kuwa kila mkazi wa dunia hii anayafahamu na anashiriki kuyatekeleza pale alipo. Viongozi wanapiga mbiu lakini mwitikio kutoka kwa wananchi unahitaji utayari wao.

Sauti -

Tuyakabili magonjwa ya moyo: WHO

Ikiwa leo ni siku ya moyo duniani, inayoungwa mkono na shirika la afya ulimwenguni WHO, msisitizo waa siku hii ni kukabiliana na magonjwa ya moyo VCDs, ambayo

Sauti -

Neno la wiki: Likiza

Wiki hii tunaangazia neno "Likizai" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania. Je, neno hili lina maana ngapi?

Sauti -

UNICEF yaanzisha vituo vipya vya kujifunza kwa watoto wakimbizi wa Rohingya

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF leo limetangaza linaanzisha vituo vipya vya kujifunza 13,000 kwa ajili ya watoto wakimbizi

Sauti -

Polisi wanawake wa UNPOL ni wakweli na wakarimu: Busingye

Ukweli na ukarimu unaodumiswa na polisi wanawake unachangia kwa kiasi kikubwa majukumu ya polisi wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNPOL.

Sauti -