Sauti Mpya

Kimbunga Mora chasambaratisha kambi za wakimbizi wa Rohingya

Kimbunga Mora kilichokuja na upepo mkali wa kilometa 117 kwa saa, kimepiga Kusini-Mashariki mwa Bangladesh Jumanne, na kuathiri mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Rohingya katika kambi za Kutupalong na Nayapara, limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi,

Sauti -

Hatua za upasuaji kwa wagonjwa Fistula -sehemu ya kwanza

Ugonjwa wa Fistula ambao huwakumba akina mama pindi wachelewapo kupata huduma wakati wa kujifungua ni changamoto hususan nchi zinazoendelea.

Sauti -

Mabadiliko ya tabianchi ni suala nyeti na kipaumbelele cha UM- Lajèák

Lazima Umoja wa Mataifa uendeleze jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabiachi ili kuwafikia watu wa mashinani amesema Rais mteule wa kikao cha 72 cha baraza kuu la umoja huo Miroslav Lajèák, Lajèák [Mirosalv Laicheki] atakayeanza majukumu yake wakati wa kikao cha baraza hil

Sauti -

Wapalestina wanastahili ajira zenye hadhi-ILO

Miongo mitano ya kukaliwa imesababisha adha kubwa katika soko la ajira kwenye eneo linalokaliwa la Palestina na kufanya haja ya kufufua mchakato wa amani kuwa ni kitu cha lazima imesema ripoti inayotolewa kila mwaka ya shirika la kazi duniani

Sauti -

Kukaliwa kwa eneo la Palestina ndio chanzo cha zahma ya kibinadamu-UM

Wakati mwaka wa 50 ukikaribia tangu kuanza kukaliwa na Israel kwa eneo la wapalestina, ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA inasema sera na vitendo vya kukaliwa eneo la Palestina vinasalia kuwa chanzo kikubwa cha zahma na mahitaji ya kibinadamu katika eneo

Sauti -

Dola milioni 3 zaidhinishwa kusaidia janga la kibinadamu Kasaï

Mratibu wa masuala ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRc Mamadou Diallo ameidhinisha kiasi cha dola milioni Tatu kwa ajili ya usaidizi wa kibinadamu kwenye majimbo yaliyoko ukanda wa Kasaï nchini humo.

Sauti -

Shambulio Kabul laua watu 65 na mamia wamejeruhiwa

Zaidi ya watu 65 wameuawa na wengine zaidi ya 300 wamejeruhiwa kufuatia shambulio kwenye mji mkuu wa Afghanistan, Kabul. Flora Nducha na ripoti kamili.

(Taarifa ya Flora)

Sauti -

WHO yataka serikali zichukue hatua dhidi ya uziwi

Mkutano wa 70 wa baraza la afya la shirika la afya ulimwenguni, WHO umefunga pazia hii leo huko Geneva, Uswisi ambapo pamoja na mambo muhimu yaliyopitishwa ni

Sauti -

UNHCR yawaripoti polisi wafanyakazi wake Kenya kwa udanganyifu Kakuma

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linachukua hatua kadhaa ili kuimarisha uongozi na usimamizi wa operesheni zake

Sauti -

Maskini watumia pesa kununua sigara badala ya chakula, dawa na elimu- WHO

Matumizi ya tumbaku ni tishio kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, taifa na hata kanda mbalimbali, limesema shirika la afya ulimwenguni WHO hii leo katika maadhi

Sauti -