Sauti Mpya

Dunia inapita kipindi kigumu katika kuheshimu haki za binadamu: Kamishina Zeid

Kuibuka kwa vikundi vyenye misimamo mikali kumeathiri namna serikali zinavyoshughulikia haki za binadamu amesema kamishna wa hakiza binadamu katika Umoja wa Mataifa Zeid Ra’ad Hussein.

Sauti -

Kobler awapongeza raia wa Libya kutimiza miaka 64 ya Uhuru

Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa kwa ajili ya Libya Martin Kobler amewapongeza raia wa Libya kwa kuadhimisha miaka 64 tangu kujinyakulia uhuru wake.

Sauti -

Ufadhili kwa UM unapungua huku mahitaji yakiongezeka: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon amesema ufadhili kwa Umoja wa mataifa unaendelea kupungua wakati mahitaji ykiendelea kuongezeka nah ii ni changamoto lakini Umoja wa mastaifa unafanya kila liwezekanalo kutekeleza majukumu yake kwa mahitaji ya dunia na kwa bajeti iliyopo kwa kutumia ubu

Sauti -

Kobler akaribisha azimio la Baraza la Usalama kuhusu Libya

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, UNSMIL, Martin Kobler, amekaribisha azimio lililopitishwa leo kwa kauli moja na Baraza la Usalama la Umoja huo leo mchana, likikaribisha makubaliano ya kisiasa ya Libya yaliyosainiwa mnamo Disemba 17, 2015, kama

Sauti -

Tanzania haina polio tena, siri ni kuwasaka wagonjwa kila kona: Dk Mbando

Baada ya safari ya muda mrefu ya kukabiliana na ugonjwa wa Polio unaosababisha kupooza kwa viungo vya mwili, Tanzani hatimaye imetngazwa kuwa imefanikiwa kutokomeza ugonjwa huo.

Sauti -

Mahamat Saleh Annafif mkuu mpya wa MINUSMA:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-Moon leo ametangaza uteuzi wa Mahamat Saleh Annadif wa Chad kuwa mwakilishi wake maalumu na pia kuwa mkuu wa mpango wa Umoja nchini Mali (MINUSMA).

Sauti -

Uchaguzi CAR uwe wa Amani, huru na wa haki: Bocoum

Mtaalamu huru wa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR Marie-Thérèse Keita Bocoum, amewapongeza takribani milioni mbili waliojiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge.

Sauti -

Mkuu wa UNISDR akaribisha siku ya kimataifa ya kelimisha kuhusu tsunami:

Uamuzi wa baraza kuu la Umoja wa mataifa kutambua na kutenga siku ambayo itachagiza na kuelimisha umma kuhusu tsunami utasaidia kuweka msukumo katika njia za kupunguza majanga ya asili nay ale yanayosababishwa na binadamu.

Sauti -

Misafara ya kurejea nyumbani Cote D'Ivoire yaanza huko Liberia..

Nchini Liberia, kazi ya kuwarejesha nyumbani kwa hiari wakimbizi wa Cote D'Ivoire waliokuwa wakiishi nchini humo imeanza tena baada ya kusitishwa kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Sauti -

Baraza la Usalama lataka maazimio yake kuhusu Yemen yatekelezwe

Wajumbe wa Baraza la Usalama wamekariri wito wao wa kutaka utekelezaji kamili wa maazimio ya baraza hilo kuhusu haja ya kuwepo mchakato wa mpito nchini Yemen, ambao ni wa amani, utaratibu na jumuishi, na kuzitaka pande zote Yemen kurejelea hima mashauriano yanayoendeshwa na Umoja wa Mataifa, kuli

Sauti -