Sauti Mpya

Mkutano wa tahadhari dhidi ya Tsunami kufanyika Japan

Tetemeko la ardhi chini ya bahari la Tsunami la  mwaka wa 2004 limekuwa kichochezi cha kuundwa kwa Mfumo wa Hyogo ambao ni  mkataba wa kimataifa waa kupunguza hatari itokanyo na maafa. Abdullahi Boru na maelzeo zaidi.

(TAARIFA YA ABDULLAHI)

Sauti -

Hatuwezi kufumbia Macho usafiri hatari wa wakimbizi baharaini: UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNCHR, limeelezea wasiwasi wake kuhusu mbinu mpya ya usafirishaji wa wakimbizi na wahamiaji barani Ulaya kwa kutumia meli kubwa ya Mizigo. Taarifa zaidi na Amina Hassan(TAARIFA YA AMINA)

Sauti -

Ban alaani shambulio kwenye arusi nchini Afghanistan

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelani vikali shambulio kwenye sherehe ya arusi katika jimbo la Helmand nchini Afghanistan hapo jana lililosababisha vifo vay  raia 25 huku watu  45 wakijeruhiwa vibaya.

Sauti -

Udongo wenye rutuba ni msingi wa kilimo na afya na unapaswa kutunzwa

Jarida letu maalum leo linaangazia mwaka wa udongo 2015.Mwaka huu umetajwa kama mwaka wa kuchagiza hatua za kulinda rutuba ya udongo ambayo inaendelea kudidimia kutokana na sababu za kiasili na pia za kibinadamu. Udongo wenye rutuba ndio msingi wa mimea na kilimo.

Sauti -