Sauti Mpya

Gambia yapiga marufuku ukeketaji

Mapambano dhidi ya ukekeketaji yamechukua sura mpya barani Afrika kufuatia taifa la Gambia kupitisha sheria ya kupiga marufuku vitendo hivyo nchini humo. Joshua Mmali ana maelezo kamili.

(TAARIFA YA JOSHUA)

Sauti -

Uchaguzi wa rais CAR waahirishwa

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR

Sauti -

UNICEF yashiriki kampeni ya kuzuia kipindupindu Tanzania

Nchini Tanzania, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limeshirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Kitengo cha Elimu ya

Sauti -

Pande zote Syria zapaswa kujali maslahi ya raia wake: Demistura

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa , kwa kauli moja lilipitisha hapo tarehe 18 Desemba 2015, zaidi ya azimio 2254 (2015) , kwamba mjumbe maalumu wa Umoja wa mataifa kwa Syria, Mheshimiwa Staffan de Mistura, ameongeza juhudi za kuwaleta pamoja wawakilishi wa Serikali ya Syria na wigompana wa up

Sauti -

WHO yapeleka masaada wa madawa kwa watu milioni 1.2 Taiz Yemen

Shirika la afya duniani WHO mwishoni mwa wiki limepeleka Zaidi ya tani 100 za madawa na vifaa ya tiba kwa watu Zaidi ya milioni moja kwenye wilaya 8 za jimbo

Sauti -

Ustawi wa watu wenye ulemavu wapigiwa chepuo Burundi

Mapema mwezi huu dunia imeadhimisha siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu.

Sauti -

Madhila na usaidizi kwa wakimbizi wa Sudan

Maisha ukimbizini hujawa na taabu na mateso mengi. Hofu hutawala, kukosa makazi huambatana na kadhia hizi.

Sauti -

UNHCR kupokea wakimbizi wengi zaidi wanaorejea nyumbani Burundi 2016

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Burundi limesema linaamini mwaka ujao wakimbizi wengi zaidi watarejea n

Sauti -

Ukiukaji wa Haki waendelea kutia wasiwasi DRC.

Ofisi ya pamoja ya Umoja wa Mataifa ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (UNJHRO) imeorodhesha matukio 338 ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini DRC kwa mwezi wa Novemba, miongoni mwao matukio 51 yakihusiana na mchakato wa uchaguzi.

Sauti -

UNHCR yaongoza katika kulinda haki za wakimbizi wa LGBTI

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limeanzisha mafunzo kwa wafanyakazi wa kibinadamu kwa ajili ya kuwapa stadi za

Sauti -