Sauti Mpya

Kunde kwa chakula endelevu na maendeleo: FAO

Kunde ni zao muhimu lilaloweza kutumika katika kutekeleza ajenda ya 2030 ya maendeleo endelevu SDGS kwa kukabiliana na njaa na kujenga afya bora, limesema shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Katibu Mkuu atoa ujumbe wa uchaguzi CAR

Kuelekea uchaguzi wa rais na wa bunge tarehe 30 Disemba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo

Sauti -

Naiacha Darfur ikiwa afadhali kuliko ilivyokuwa 2013- Jen. Mella

Hali katika eneo la Darfur huko Sudan ni bora kuliko ilivyokuwa miaka miwili iliyopita.

Sauti -

Bado kipindupindu tatizo Tanzania: Dk Azma

Licha ya juhudi za wadau wa kimataifa na serikali, ugonjwa wa kipindupindu bado umeendelea kuuwa watu wengi nchini Tanzania amesema mtaalamu wa afya ya jamii ya epodemiolojia Dk Azma Simba kutoka wizara ya afya.

Sauti -

Guinea sasa haina tena maambukizi ya Ebola:WHO

Shirika la afya duniani leo limetangaza kumalizika kwa maambukizi ya virusi vya Ebola katika Jamhuri ya Guinea. Taarifa kamili na Amina Hassan.

(TAARIFA YA AMINA HASSAN)

Sauti -

Watu wenye asili ya Afrika lazima wawe na sauti katika juhudi za kukabili mkabadiliko ya tabianchi:UM

Juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi lazima ziwe jumuishi zaidi kwa kushirikisha kwa kiasi kikubwa wale waliopuuzwa wakati wa mkutano wa mabadiliko ya tabianchi ya COP21.

Sauti -

Maelfu ya raia wa Sudan wanakimbilia Sudan Kusini kusaka usalama:UNHCR

Maelfu ya raia wa Sudan wamekuwa wakimbilia Sudan Kuisni kutafuta usalama kwa mujibu wa shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Ban akaribisha muafaka wa Japan na Korea kuhusu wanawake waliotumika kama faraja wakati wa vita kuu:

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon amekaribisha muafaka wa serikali za Japan na Jamhuri ya Korea kuhusu masuala yahusuyo wanawake waliotumiwa kingono kama faraja kwa askari wa Japan wakati wa vita kuu ya pili ya dunia.

Sauti -

Raia wa Kunduz Afghanistan wapata msaada wa kibinadamu

Zaidi ya familia 100 zilizoathiriwa na mapigano kwenye eneo la Kunduz, nchini Afghanistan, zimepatiwa misaada ya kibinadamu kutoka kwa Umoja wa Mataifa na wadau wake.

Sauti -

Mjumbe wa UM Iraq apongeza ukombozi wa mji wa Ramadi

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu nchini Iraq, Ján Kubiš, ametoa risala za heko kwa watu wa Iraq kufuatia kukombolewa kwa mji wa Ramadi katika mkoa wa Anbar kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi linalotaka kuweka dola la Uislamu wenye itikadi kali, ISIS.

Sauti -