Sauti Mpya

Ban ampa heko rais moya wa Burkina Faso na kuupongeza upinzani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, ametuma risala za pongezi kwa Bwana Roch Marc Christian Kaboré, kufuatia kuapishwa kwake leo kuwa rais wa  Burkina Faso.

Sauti -

Kwaherini Somalia, tumepiga hatua katika utulivu: Kay

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Balozi Nicholas Kay amemaliza muda wake  na hivyo kuagwa rasmi katika hafla fupi  iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa Aden Abdulle, muda mfupi kabla ya kurejea nyumani Uingereza.

Sauti -

Uchaguzi waendelea kwa amani CAR

Uchaguzi wa rais na wabunge unaendelea kwa amani na utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, huku waangalizi wakiripoti kwamba watu wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kupiga kura. Taarifa zaidi na Flora Nducha.

(Taarifa ya Flora Nducha)

Sauti -

Tanzania: watoto wachangia kampeni dhidi ya kipindupindu

Nchini Tanzania, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetoa mafunzo kwa watoto wanahabari ili waweze kuelimisha jamii kuhusu k

Sauti -

Afya bora ya jamii na ustawi unahitaji uwekezaji:UNFPA

Wakati nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimepitisha ajenda ya 2030 ya maendeleo endelevu SDGS wadau wa maendeleo yakiwemo mashirika ya Umoja wa Mataifa yanajielekeza kutekeleza malengo hayo, mathalani lile la idadi ya watu

Sauti -

Wadau wote lazima kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa Amani CAR:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon ametoa wito kwa wadau wote nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR kuhakikisha uchaguzi wa Rais na wabunge unaofanyika leo unakuwa wa Amani na utulivu.

Sauti -

Wakimbizi wa CAR watamani maridhiano

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, zaidi ya watu 400,000 wamelazimika kuhama makwao tangu kuanza kwa mzozo nchini humo miaka miwili iliyopita.

Sauti -

Muarobaini wa kutokomeza kipindupindu ni usafi: Dk Azma

Mlipuko wa ugonjwa kipindupindu ulioanza Agosti 15 mwaka huu nchini Tanzania unaendelea kugharimu mamia ya maisha ya watu kwani ugonjwa huo sasa umesambaa katika mikoa 21 ya taifa hilo la Afrika Mashariki.

Sauti -

UM wahimiza serikali zichukue hatua kupunguza madhara ya majanga ya hali ya hewa

Kufuatia vimbunga vilivyoishambulia Marekani wakati wa Krismasi, kunyesha kwa barafu Mexico na mafuriko Amerika ya Kusini na Uingereza, Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupunguza madhara ya majanga, Margareta Wahlström, ametoa wito kwa serikali zichukuwe hatua za tahadhari ili kupunguza hasar

Sauti -

MONUSCO yapata Kamanda mpya: ni Luteni Jenerali Mgwebi wa Afrika Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ametangaza leo kwamba amemteua Luteni Jenerali Derick Mbuyiselo Mgwebi wa Afrika Kusini kuwa Kamanda wa vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),

Sauti -